Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Shukrani kwa taarifa na asanteni kwa kazi nzuri tangu miaka hiyo hadi sasa...
 
Mbona mi sipati notification?

Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao

Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile

Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
Acha roho mbaya chariiii yangu.
 
Hahaha... Mnanifurahisha.

Nikiri, thread hii nitakuwa karibu nayo ili kuhakikisha kila maoni yanafanyiwa kazi.

Kufikia Jumatatu next week tutakuwa tumekamilisha kuweka fixes (kama zitahitajika).

Timu yetu itakuwa hapa kukuhudumia; ni furaha yetu kusikia toka kwako
Tuwekeeni na option ya "delete for me" kwenye komenti ambayo mtu haipendi na hataki kuiona.

Pia wekeni na option ya kuedit Heading kwa muanzisha thread.
 
Mkuu Melo tunashukuru kwa kazi nzuri unayofanya wewe na team yako katika jukwaa letu. Ila kama waswahili wanavyosema katika msafara wa mamba na kenge nao wamo.

Nikiwa na maana kwamba katika watumishi wako kuna baadhi ya mods wanatumiwa na wanasiasa uchwara kwa faida zao wenyewe. Wengi tumeshajaribu kulalamikia sana hali hiyo, lakini inaonekana kama vile hamjali malalamiko yetu au pengine huwa mods wanayafuta kabla wewe kiongozi wao hayajakufikia.

Haiwezekani mtu anatoa thread na picha ya kumkejeli mkuu wa nchi anaachwa, halafu mimi naandika tu comment juu ya kile alichoandika mleta thread tena bila kumtukana mtu, halafu eti comment yangu ndio inafutwa (tena bila kupewa taarifa ya kwanini inafutwa) hii ni baada ya mods kuona watu wanatiririka na "LIKE " zaidi ya 66 kwa muda mchache tena pamoja na kuni quote, kitu ambacho mods hao wanaotumiwa na wanasiasa uchwara kiliwaumiza na kuamua kuifuta bila sababu, halafu thread ya mleta mada aliedhalilisha inaachwa iendelee kusambaza sumu na chuki kwa mamlaka, kisa tu mleta thread ni wa chama fulani.

Ushahidi wa hiki ninachokiandika humu upo. Kwa kweli mnatuvunja nguvu sisi wana JF wenu, na ukizingatia malalamiko haya sijayatoa peke yangu, ni wengi wanalalamika lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. By the way nimefurahishwa na hiki ulichotuandikia hapa.

Thank you
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Ndani ya saa 72 zijazo mabadiliko haya yataonekana kwa wengi.

Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.

Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.

Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.

Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.

Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.

Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.

Asanteni sana!
News mpya za kila siku ziwe na muonekano au rangi tofauti ili ziweze kusomeka kwa urahisi.
2. Punguzeni Ban
3. Lianzishe jukwaa la wapendanao ili vijana walitumie kupata marafiki wa kuoana/ kuoa
4. Lianzishe jukwaa la kazi na ajira tu kwa ajili ya vijana ambao ni kundi kubwa
 
Mimi na familia yangu tunasubir mabadiliko Lowassa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Ndani ya saa 72 zijazo mabadiliko haya yataonekana kwa wengi.

Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.

Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.

Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.

Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.

Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.

Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.

Asanteni sana!
Mkuu usisahau kitufe cha dislike😂
 
Mtu akinitag au kumention jina langu, sipati notifications
 
Safi Sana Max & jamiiforum nilikuwa natamani siku Moja hiwe hivyo.
 
Alafu kule play store kuna app mbili ebu jaribuni kutoa ile isio yenu maana yaweza tumika kuiba hata taarifa za watu
 
Back
Top Bottom