elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
😂🤣😂🤣😅Mpunguzieni ban extrovert zimekuwa nyingi mnoo
Afu yule kenge mpwayungu village mpigeni ban ya maisha bila kumsahau yule Genta nini sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣😂🤣😅Mpunguzieni ban extrovert zimekuwa nyingi mnoo
Afu yule kenge mpwayungu village mpigeni ban ya maisha bila kumsahau yule Genta nini sijui
Baba anatakiwa kujua machungu wanayopitia watoto wake.Kuwa na heshima,Mello ni Kama Baba tukiwa humu😂😂😂😂ðŸ¤ðŸ¤
✅Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.
Unalionaje pendekezo hili?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣subir muongozoMods nataka ID yangu iwe na rangi kama Id ya Melo.
Sasa hivi.
Acha roho mbaya chariiii yangu.Mbona mi sipati notification?
Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao
Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile
Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
Tuwekeeni na option ya "delete for me" kwenye komenti ambayo mtu haipendi na hataki kuiona.Hahaha... Mnanifurahisha.
Nikiri, thread hii nitakuwa karibu nayo ili kuhakikisha kila maoni yanafanyiwa kazi.
Kufikia Jumatatu next week tutakuwa tumekamilisha kuweka fixes (kama zitahitajika).
Timu yetu itakuwa hapa kukuhudumia; ni furaha yetu kusikia toka kwako
[emoji23][emoji23]Nimecheka kama chizi ulivoongea kwa uchungu auntyanguShangazi naogopa kuumbuka mwenzio. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
News mpya za kila siku ziwe na muonekano au rangi tofauti ili ziweze kusomeka kwa urahisi.Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Ndani ya saa 72 zijazo mabadiliko haya yataonekana kwa wengi.
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Kawaida tu haina kweree mtu wangufront seat melo
Mkuu usisahau kitufe cha dislike😂Wakuu,

Unataka kuleta ugomvi sasa[emoji23][emoji23]Mkuu usisahau kitufe cha dislike[emoji23]
Mtu akinitag au kumention jina langu, sipati notificationsWakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Ndani ya saa 72 zijazo mabadiliko haya yataonekana kwa wengi.
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Safi Sana Max & jamiiforum nilikuwa natamani siku Moja hiwe hivyo.Wakuu,