Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kama una haraka zako huwezi kusoma kwa urahisi.Ambacho bado hawaja fix ni upande wa search haileti chochote.
Ila muonekano classic sana
Naomba uturejeshee Display ya page tatu za mwisho za kila post pamoja na option ya 'Jump to the bottom'.Naiona moja tu ya 'jump to the top'Karibu 🤝
Hii jf ya sasa ni ile ambayo iliwahi kunishinda pale nilipodownload app,pia hii jf ya namna hii niliwahi kuiona kwenye operamin na nilishindwa kuitumia,yaan sahv sna mzuka kabisa,una scroll unafika mwsho hakuna kufungua page zingine nabak kucheza na trending na new posts basi naishia hapoHata kwenye new post huwez kuendelea page nyingene mpaka ukatafute thread kwenye forums
Nimetembelea hii link lakini nadhani kuna settings mmeziondowa kama ya signature, aina ya device unayotumia na page setting kwa uchache.Anhaa, chini kuna sehemu imekwambia ENABLE NOTIFICATIONS. Umeiona? Nimekunukuu hapa, umekuwa notified?
Otherwise, tembelea hii page: https://www.jamiiforums.com/account/preferences
Wadau katika Maisha kuna washauri wengine ni wapotoshaji , na una kuta hapo ww unaeshauriwa na huyo mtu basi na ww ndio unamkubali sana, kumbe ushauri wake ni unakupotosha tu.
Hakika muonekano mpya wa JF in terms of color hakika Melo kaingia Choo vha watoto wa kindergarten
Muonekano mpya ni horrible sanaa
Ni kheri Melo na kamati yako muliangalie utazoea tu