Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Huu muonekano umekua na changamoto sana, sijui ndo bado kuuzoea au niaje.
Kuna hili la maandishi kua makubwa hasa headings ni kubwa mno aisee.

Pia kujirudiarudia kwa topics, yaani kama leo umeangalia pale trendings na kesho ukija kucheki unazikuta hizohizo hata nyuzi mpya huzikuti labda uende kwenye majukwaa.

Naamini bado marekwbisho yanaendelea, yafanyiwe kazi haya yanayolalamikiwa sana.
 
This one was the best for me, sijaifuta wangeiboresha tu nisingehama…. wameamua kuitelekeza hasa notifications basi sina jinsi.
1A911FA5-B63B-4B5F-BC17-7F28E5AB4CA7.jpeg
 
Mwonekano mpya japo ni kwenda na teknolojia lakini hauvutii.Tangu juzi sijapata hamu ya kuchangia kitu.Naona kila kitu ni giza tu.
 
Me ata sielewi maana niliwai ku update jf ikagoma tuu kunitambua mimi ni member. Huwa ata sijishughulishi na matoleo mapya
 
Weka kipengele cha kufuta Uzi nilioanzisha kwenyewe au kuu Edit
 
Hata kwenye new post huwez kuendelea page nyingene mpaka ukatafute thread kwenye forums
Hii jf ya sasa ni ile ambayo iliwahi kunishinda pale nilipodownload app,pia hii jf ya namna hii niliwahi kuiona kwenye operamin na nilishindwa kuitumia,yaan sahv sna mzuka kabisa,una scroll unafika mwsho hakuna kufungua page zingine nabak kucheza na trending na new posts basi naishia hapo
 
Hii JF mpya hata kumjua tu mtoa post [OP] hakuna, hovyo sana kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Anhaa, chini kuna sehemu imekwambia ENABLE NOTIFICATIONS. Umeiona? Nimekunukuu hapa, umekuwa notified?

Otherwise, tembelea hii page: https://www.jamiiforums.com/account/preferences
Nimetembelea hii link lakini nadhani kuna settings mmeziondowa kama ya signature, aina ya device unayotumia na page setting kwa uchache.

Anyway ngoja tuendelee kuangalia haya maboresho tutaelewana mbele ya safari.
 
It's so sad how people resist changes in life. What Jf founder done is a good thing we need to change every single day for the best.
 
Utazoea tu! Mbona upo vzr sana
Wadau katika Maisha kuna washauri wengine ni wapotoshaji , na una kuta hapo ww unaeshauriwa na huyo mtu basi na ww ndio unamkubali sana, kumbe ushauri wake ni unakupotosha tu.

Hakika muonekano mpya wa JF in terms of color hakika Melo kaingia Choo vha watoto wa kindergarten
Muonekano mpya ni horrible sanaa

Ni kheri Melo na kamati yako muliangalie utazoea tu
 
Back
Top Bottom