sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Halafu sasa hivi nikilike comment ya mtu narudishiwa notification ya KISIWAGA reacted to_ _ _ _Wafanyie kazi na notifications kwenye app maana hili limekuwa tatizo la kudumu
na hili ndilo tatizo kubwa, pia hii wauwezi kusoma thread nyingi kwa wakati mmoja kwenye display, yaan display nzima inajaa thread mbili tuMwonekano mbaya na functions nyingi hazina kazi.
Mfano unasoma thread ukichoka ukitaka kurudi nyuma uchague thread nyingine, haina 'back' hadi ushuke mwisho au upande juu ukachague forums upya.
Pia ukidanilodi picha na kusevu huwezi tena kurudi uendelee.
Kero kwangu ni hizo.
uko poa kwenye mwonekane,ila kwenye matumizi ndio hauko feiendly user kama ule walioutoaUpo sawa
tutazoea kwa hiari ama kulazimishwa kama hizi tozo mpya za waziri aliesema tukishindwa tuhamie burundi? 🙄Tutazoea tu si kila siku unakula kifo cha mende siku ingine jaribu Chuma mboga uone raha yake.
Mmmh! Nilifikiri ni mimi tu siupendi nikauchuna nisije nikaonekana mshamba kwani nipo Kijijini Rubambangwe, Chatooooo!!!hapa wametuvuruga kwa kweli,aliyetoa wazo na akaweka huo mfumo,amemdanganya boss wake (Mello),NI mbaya ,mbaya ,mbaya na unaboa !!
Sent using Jamii Forums mobile app