sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
yani zamani nilizoea kuperuzi jamiiforums hata lisaa,,,, ila kwa huu muonekno hata hamu ya kingia humu ndani imeisha,
tangu mabadilko haya yafanyike watu wengi wanalalamika ila ndugu yetu Maxence Melo hajabadili chochote, yani imekuwa kama ubabe flani hivi kisa hatuna mbadala wa jamiiforums.
hadi hapa nachoona kuna mbinu ya kibabe inatumika kutulazimisha watumiaji tuzoee huu muonekano mbovu hivyo hivyo kwa lazima hata kama hatuupendi maana hatuna mbadala wa jamiiforms.