Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikiizoea, maandishi mazuri lknHaina mvuto tena
Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.
Unalionaje pendekezo hili?
Kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa kanuni ama sheria za asili. Kabla hujamuhukumu mtu msikilizeSure.Wanahukum bila kumsikiliza mhusika.No Democracy here
Please hapa kwenye options za preferences rudisheni ile option ya muonekano wa zamani,ilikuwepo ila ghafla mmeitoa.Asante kwa mrejesho mkuu!
Embu naomba uscren short huo mtazamo mpya niuone mkuu plz assit
Ww mjomba mnafiki mada za kukashifu dini za wengine hutaki kuziona na ww ndio kila Siku muanzilishi kukashifu dini za watuMbona mi sipati notification?
Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao
Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile
Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
Nadhani Kila mtu ni mhanga hapa. Hii kitu wameideploy kabla hawajaifanyia testing za kutosha. Too many errors.Binafsi naona layout iko vizuri japo kuna marekebisho ambayo inabidi yafanyike sijui tatizo lipo kwangu tu au vipi?
Ni kwamba unaposcroll ukafika mwisho wa page(Home page) mara nyingi ilikuepo button ya view more lakini hapa kwangu ni changamoto haipo tena kwahiyo inakuwa ngumu kunavigate kutoka page moja kwenda nyingine(Hapa naongelea ukiwa katika Home page na sio pale unapokuwa umefungua post husika)
Kweli, vurugu nyingi sana kwenye hii mpya.mkubwa Maxence Melo mwonekano mpya uko amazing lakini naona kuna shida kwenye rangi za links,ilitakiwa zisifanane sana na maandishi mengine