Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.

Unalionaje pendekezo hili?

Pendekezo zuri, lifanyiwe kazi.
 
Asante kwa mrejesho mkuu!
Please hapa kwenye options za preferences rudisheni ile option ya muonekano wa zamani,ilikuwepo ila ghafla mmeitoa.
02022060231955.jpg
 
Mkuu Maxence Melo huu muonekano ni mzuri, ila Ukiingia tu unakutana na hayo mazagazaga utadhani magazeti

Screenshot_20220602-131653_Chrome.jpg

Rudisha ile ya zamani mkuu, ukiingia tu unakutana na heading
 
Safi. Imenikumbusha tukihama Jambo kuja Jamii. Mabadiliko yalipokelewa tofauti kulingana na mtu lakini tulizoea na kwenda nayo
Kongole nyingi kwa team nzima ya JF kwa hili
 
Binafsi naona layout iko vizuri japo kuna marekebisho ambayo inabidi yafanyike sijui tatizo lipo kwangu tu au vipi?

Ni kwamba unaposcroll ukafika mwisho wa page(Home page) mara nyingi ilikuepo button ya view more lakini hapa kwangu ni changamoto haipo tena kwahiyo inakuwa ngumu kunavigate kutoka page moja kwenda nyingine(Hapa naongelea ukiwa katika Home page na sio pale unapokuwa umefungua post husika)
 
mkubwa Maxence Melo mwonekano mpya uko amazing lakini naona kuna shida kwenye rangi za links,ilitakiwa zisifanane sana na maandishi mengine
 
Mbona mi sipati notification?

Kuna watu tunawablock ila bado wakianzisha mada twaona mada zao

Kwanini msiweke ukimtia mtu block usione mada yoyote anayoanzisha wala hata changizo zake zozote zile

Pia kwanini msituwekee uwezo wa kuzuia mada fulani, tusizione kabisa ie mada za kukashfu dini za wengine etc
Ww mjomba mnafiki mada za kukashifu dini za wengine hutaki kuziona na ww ndio kila Siku muanzilishi kukashifu dini za watu
 
Binafsi naona layout iko vizuri japo kuna marekebisho ambayo inabidi yafanyike sijui tatizo lipo kwangu tu au vipi?

Ni kwamba unaposcroll ukafika mwisho wa page(Home page) mara nyingi ilikuepo button ya view more lakini hapa kwangu ni changamoto haipo tena kwahiyo inakuwa ngumu kunavigate kutoka page moja kwenda nyingine(Hapa naongelea ukiwa katika Home page na sio pale unapokuwa umefungua post husika)
Nadhani Kila mtu ni mhanga hapa. Hii kitu wameideploy kabla hawajaifanyia testing za kutosha. Too many errors.
 
Mkuu Maxence Melo, naomba utufikirie basi options za kujifutia thread tulizo anzisha wenyewe, pamoja na comments/comments zilizoQuotiwa. Hili tumeliomba kitambo sana lakini hakuna anaejari.
 
Back
Top Bottom