kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Pole sana nakushaur ufanye mazoez ya kegelWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Afu tumia pia kuoshea uke wako maji barid au weka kipande kidogo cha barafu ukeni vaa zako pedi ile barafu ukiweza kuvumilia itakusadia kuvuta uke na kufanya kuwa mdogo na utaepukana na kuwa uke mpana na hivyo kukufanya uweze kufurahia vizur mapenz na kitu tait afu pia muoneshee maujuzi ya kitandani usiwe tu huna swaga mpya
Nenda katumie hiyo barafu utakuja kunipa majibu hapa ataenjoy sana utait wako kama bikra