Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

....Kumbe Tar 1 April imeishafika na Kupita???
 
Ni hatari sana,hakuna unafuu hata kidogo,kuna kifurushi Halotel nilikuwa nalipa 1000 napata GB 1 kwa wiki sasa hivi ni MB 400 kwa shilingi 1000.

Tatizo ni pale serikali inapoamini kuwa watumiaji wote Wa internet bundle ni wapiga story mitandaoni so inabidi iwabane kwa kupandisha bei za vifurushi,ukweli sio huo,ikitumika dhana hii utawaathiri watu wengi hasa wale Wa biashara za mtandaoni,pia wapo wanaosoma kwa njia ya mtandao ambao hujiunga kusikiliza madarasa ya mtandaoni,hii ni hatari sana.Ndugulile amefeli mapema sanaa

Kilichofanywa na waziri kujidai kafanya mkutano na wamiliki Wa mitandao juu ya bundle ni ujangili,sikuona maana ya waziri kujitia kimbele front kukaa na wamiliki Wa mitandao eti wapange bei ya vifurushi wakati tuko kwenye ushindani,so mteja ataenda kwenye mtandao anaoona unatoa ofa nzuri.
 
Yaan Ndugulile ni trash
 
Serikali iliwasiliana na mashirika ya simu yajipange au inaamrisha tu?
 
Wakati Ndugulile anaongea mlikuwa amsikilizi kwenye kichwa chake price hike za mobile phones, zitasaidia TTCL kupata biashara.

Aelewi kwamba unawaongezea watanzania umaskini yale yale ya kwenye sukari, sijui ni nani huwa anawapendekeza watu kama kuwa mawaziri.
 
Sioni tofauti kwa vifurushi vyangu
Screenshot_20210401_062127.jpg
 
Huku halotel hali ni mbaya sana.
Hakuna tena zile Gb10 kwa 10,000.
Wamepunguza hadi gb 4.
 
Back
Top Bottom