Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Haya aliyasema waziri Ndungulile mwenyewe, Wala si kwasababu leo April Fool's Day
Sawa April 2 itafika pia tutaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa April 2 itafika pia tutaona
Mtandao wakeMtandao gani huo?!!!
Ni hatari sana,hakuna unafuu hata kidogo,kuna kifurushi Halotel nilikuwa nalipa 1000 napata GB 1 kwa wiki sasa hivi ni MB 400 kwa shilingi 1000.
Tatizo ni pale serikali inapoamini kuwa watumiaji wote Wa internet bundle ni wapiga story mitandaoni so inabidi iwabane kwa kupandisha bei za vifurushi,ukweli sio huo,ikitumika dhana hii utawaathiri watu wengi hasa wale Wa biashara za mtandaoni,pia wapo wanaosoma kwa njia ya mtandao ambao hujiunga kusikiliza madarasa ya mtandaoni,hii ni hatari sana.Ndugulile amefeli mapema sanaa
Kilichofanywa na waziri kujidai kafanya mkutano na wamiliki Wa mitandao juu ya bundle ni ujangili,sikuona maana ya waziri kujitia kimbele front kukaa na wamiliki Wa mitandao eti wapange bei ya vifurushi wakati tuko kwenye ushindani,so mteja ataenda kwenye mtandao anaoona unatoa ofa nzuri.
Mbona Zantel hawajarudisha.
Zantel wanaongoza kwa uonevu wamepunguza GB na siku za matumizi
Tigo wanauza GB 2.5 kwa tsh 10,000 nikawahama fastaPia kuanzia tarehe 1/04/2021 GB moja itauzwa 9'000/-
Ndungulile oyeee
Ebu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia
Dah
Maendeleo hayana chama
Muulize Dr Faustine NdungulileTigo wanauza GB 2.5 kwa tsh 10,000 nikawahama fasta
iweje GB moja iuzwe 9000?
Vinaanza rasmi kesho leo ni siku ya wajingaSioni tofauti kwa vifurushi vyangu
View attachment 1740047