Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

mimi ichi cha chuo kinasema, 800MB kwa 1500/-,
Kama line yako yachuo sio ya mda mrefu kidogo pia ni tatizo
IMG_20210401_082425.jpg
 
Dah tunaanza kumkumbuka hayati. Huyu mama anajua YouTube inavyokula bundle kweli?
Kwani haya mambo si yote yamefanyika chini ya huyo hayati au haufatilii mambo? Ndungulile alishatoa muongozo, kinacho fanyika sasa ni utekelezaji tu.

Sio huyo mwenda zake aliye tamamani malaika wazime mitandao? Kama hauelewi hiyo ndiyo namna ya 'kuizima' sasa, zinawekwa tariffs ambazo nyie 'wanyonge' hamta afford.
 
Acha habari za uzushi,alisema ni tarehe 02/04/2021.Mods piga ban hii mtu inaeneza habari za uzushi!
 
Kwani haya mambo si yote yamefanyika chini ya huyo hayati au haufatilii mambo? Ndungulile alishatoa muongozo, kinacho fanyika sasa ni utekelezaji tu.

Sio huyo mwenda zake aliye tamamani malaika wazime mitandao? Kama hauelewi hiyo ndiyo namna ya 'kuizima' sasa, zinawekwa tariffs ambazo nyie 'wanyonge' hamta afford.
Sialisema yeye ni rais wawanyonge? Au alimaanisha wale wasio na smartphone?
 
Nimeingia leo kujiunga kifurushi cha internet cha usiku chenye walau GB 5 mara paaah! Hakipo. Alafu wanajifanya kutuletea kifurushi kisichoisha muda kisicho na category ya internet pekee. Nimewavua thamani.
Halotel wameharibu balaa,ila afadhali yao nikilinganisha na Tigo...
 
Ni kweli vifurushi vimebadirika hasa halotel MEGA bando tulikuwa tunapata kwa Tsh 1000 GB 1 Na dk halotel-halotel lakini sahivi unapata Tsh 1000 MBs 450 dakika 15 (mitandao yote), kile kifurushi cha usiku wa saa sita wametoa kama cha Tsh 500 GB 1, Tsh 1500 GB 5 havipo
 
Back
Top Bottom