Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Anazungumzia status ya mwanamke .

Kwamba kuna wanawake grade ya juu na grade ya chini ...hapo anakuona ww unawaweza grade ya chini
Kijana hawana grade hao shauri yako, we utaendelea kula makapi kwa kuogopa eti kuna grades. Mi nshawai kula manzi mkali kabisa kwa kipindi fulani for free kabisaa. Ambae we mpanga grades ukimuona utatumia mahela yako mengi, hadi sometimes girls wanawashangaa mnapotumia ela kiholela hata isipohitajika.

Ndo hapo mnaonekana kua mnataka kujionesha mna pesa na ndo mnapopofolewa sasa.
 
Sasa braza nimekutana na mbunye leo nataka kuila leo, Hapo unadhani Kuna kufagiliana na post and pre paid service?

#YNWA
 
Hahahahah we jamaa hebu agiza Cafe-latte moja na kashata ya 200 bill kwanguπŸ˜…!

Nilifikiri ni mimi tu ambaye huwa nashangaa hizi gharama zinazoainishwa humu mbona mie sikutanagi nazo kumbe ni mbinu tu zinatofautianaπŸ˜…
 
Yaani ni kuinvest.

Zikiwa nyingi una invest Tena Tena na tenaa.

Mpaka na wewe uingie kwenye list la mabilionea wa Mhe. Mwiguru.

Tunahitaji kunywa chai meza moja na Bhakresa.

#YNWA
Kabla haujafikia kunywa na bakhresa sahivi unakunywa na nani? Kina mwajuma ndala ndefu???
 
Braza Kuna zile mbunye unakutana nazo leo, inatakiwa uzile leo fasta.

Mbunye za fast save.

#YNWA
 
Poa baharia. Tumekusikia siye vinega. Ila weye endelea kuwekeza huko kwenye ardhi. Siye vinega tutawekeza kwenye utamu wa mwili. Maisha ni mipango. Mtu afanye atakalo kutokana na satisfaction yake. Kila la kheri
 
Gharama na risk ya magonjwa jumlisha kujichanganya kwa wake za watu, upo guest unaibukiwa na kundi la masela ndo utajua hujui, uzinzi gharama sana.
"Kujichanganya kwa wake za watu" hii ukimaanisha unamtokea demu anakubali kukupa mbususu na hujui kama ni mke wa mtu!?!

Ila kweli, sikuizi huwa hawasemi kama wameolewa au lah. Kazi kweli kweli [emoji45]
 
Nilishaachaga hizi habari kitambo siku niko more focused sana na uchumi wangu

Nilipogonga 30 tu nikasema SASA BASI

20s nimeruka na kila demu wa kila engo inayokuja kichwani mwako ndugu msomaji[emoji2]

So ladha ni zile zile hakunaga maajabu nimegundua nilipoteza millions katika mapenzi

Nilipogonga 30 tu nikawa more focused nimeshafanya lifetime investment kadhaa na kila Senti yangu nayopata ni investment and reinvestment tukutane tena at 45 inshallah!!

Mapenzi gharama sana hasa Kama una background mbaya ya kiuchumi lazma u sacrifice kimoja wapo ili uwe stable

Msoto niliopitia kwenye hili life sitaki wanangu waje wawe Kama Mimi this is known as uplifting your generational economy

Bye bye wadangaji[emoji1787]

See u at the top
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…