Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.

View attachment 1916760
In my view in diplomatic terms, unless there is something else regarding their asset, these diplomats are wrong on what they are doing in their host country.

Their actions clearly show that there is something of great interest which they have to be summoned by the foreign ministry in order to seek clarification.

Is it to do with facilitating our democratising process?

Or is about mission went wrong regarding 2020 elections?

What is their stand and view of our country right now?

Have they got any options rather than attending court proceedings?

What is their objective?

And why ignoring our Foreign Office advice regarding their attendance to court which is contrary to their specific roles as diplomats in host country?
 
Wadhamini wa Tanzania kwa mawazo yangu wanataka kujua hii nchi inaenda wapi. Hii ndiyo sababu ya kwenda mahakamani kwenye kesi ya Mbowe. Kabla ya kufanya maamuzi yao ambayo hata sisi hatuyajui wanapenda kuangalia nchi kwa mapana yake. Hawako pale kwasababu ya mbowe pekee Raisi Samia pia yuko mahakamani kwa mawazo yao na kesi ya mama Samia ni haki!.
 
Huwezi kufahamu nchi yaendaje kwa kuhudhuria taratibu za mahakamani.

Kuifahamu nchi kwa mapana yake kwa kutumia kesi ya Mbowe si lugha sahihi, kwani ofisi za mabalozi hao na wadau wote wa maendeleo wa kigeni zipo nchini miaka nenda rudi, hivyo tayari taarifa zote kuhusu nchi hii wanazo.

Kitendo cha kuwa wanatekeleza taratibu za kidiplomasia kwa kuwasiliana na serikali ya nchi mwenyeji kisha kusimama bega kwa bega na watuhumiwa mahakamani waona ni sahihi?

Yaani wangefanya hivyo kule Russia, au China?

Au sisi tungefanya hivyo kule Marekani au Canada au Uingereza?

Si mtu ungeanza kufuatiliwa una malengo gani dhidi ya nchi mwenyeji?

Kwani wanapowasilisha zile "credentials" kwa raisi zimeandikwa kuhusu kuingilia shughuli za kisiasa za nchi mwenyeji?

Haya ni masuali ambayo tukiweka ushabiki wa siasa pembeni twaweza kujiuliza kwa upande wa diplomasia.
 
Mulamula ana uraia wa Marekani ndio maana ambassadors hawamuogopi
Kwa hiyo kwenye hii awamu ya sita tuna Waziri ambaye ni raia wa Marekani mwenye asili ya Tanzania!!! Maana Katiba ya Nchi haitambui uwepo wa Uraia Pacha!

Au umeamua tu kwa makusudi kuchapia?
 
In my view in diplomatic terms, unless there is something else regarding their asset, these diplomats are wrong on what they are doing in their host country.

Their actions clearly show that there is something of great interest which they have to be summoned by the foreign ministry in order to seek clarification.

Is it to do with facilitating our democratising process?

Or is about mission went wrong regarding 2020 elections?

What is their stand and view of our country right now?

Have they got any options rather than attending court proceedings?

What is their objective?

And why ignoring our Foreign Office advice regarding their attendance to court which is contrary to their specific roles as diplomats in host country?
Hauko sahihi hata kidogo.Wako sahihi kwa mujibu wa sheria,kuhudhuria kesi Mahakamani hawazuiwi maana hata ukisema wasiende bado zipo njia nyingi kufuatilia hili jambo na kuripoti kwenye Serikali zao.Kitu kibaya ni kama wakianza kutoa kauli juu ya hii kesi.
 
Wako sahihi kwa mujibu wa sheria zipi?

Wao kuwa na "diplomatic immunity" haimaanishi wavunje sheria za nchi mwenyeji.

Na kama wako sahihi kwa nini wizara iliwapa angalizo?
 
Bora mtu mwenyechuki zawazi kwakuongea name jisura kuliko mwenyesura yaupooole nakuongea kihekma kumbe loh!!
hawa wanawake tunaowajaza ili fiftefifte haitotusaidia lolote tunahangaikaga navijimambo vidogoooo yale yamsingi tunayaacha.
 
Back
Top Bottom