Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

They are not wrong at all.

Democracy gani unaiongelea hapa ?!. Hii ya mgombea moja kuwamiliki ma kamishina !! .
 
Wako sahihi kwa mujibu wa sheria zipi?

Wao kuwa na "diplomatic immunity" haimaanishi wavunje sheria za nchi mwenyeji.

Na kama wako sahihi kwa nini wizara iliwapa angalizo?
Mkuu Vienna Convention on Diplomatic Relations inawapa nguvu kuhudhuria hii kesi..

Kwenye uwanja wa Diplomasia kuna watu wako marked as International Actor(s) sasa mtu kama Mbowe ana fit kwenye hiyo International Actor ndiyo maana vyombo vya habari hata vya kidunia vinaripoti hii kesi hivyo kuvutia Dunia nzima kujua nini kinaendelea..

Wizara ya Mambo ya Nje ilipaswa sana kuishauri Serikali juu ya hii kesi..
 
Wasijihusishe na shughuli za kisiasa za nchi husika ok fine. Kumbe kesi ya Mh Mbowe umeikubali kuwa ni ya kisiasa???

Sasa wanaofadhili shughuli za siasa ktk ukuzaji wa demokrasia nchini ni hao hao usiotaka waelewe nn hasa kinachomkabili Kiongozi wa Chama cha Upinzani.
 
Mulamula wa ajabu sana. mmetangaza jamaa ni gaidi. Kesi ya kigaidi inaendeshwa katika mahakama kisha unawazuia watu wa kimataifa wasifuatilie au hajui magnitude ya neno ugaidi walidhani ni sawa na kesi ya kufumaniwa na mke/mume wa mtu?
 
It could well be that they sought consent of Mulamula!!
 
Mulamula wa ajabu sana. mmetangaza jamaa ni gaidi. Kesi ya kigaidi inaendeshwa katika mahakama kisha unawazuia watu wa kimataifa wasifuatilie au hajui magnitude ya neno ugaidi walidhani ni sawa na kesi ya kufumaniwa na mke/mume wa mtu?
Tuna viongozi wa hovyo sana nji hii!
 
Unaandikaga kama unajua uandikacho!! Uccm umekudumaza ubongo jiweke huru kiakili kichwa itoke kwenyebox yakijani
Kipindi Cha Magufuli waziri wa Nje akiwa Profesa Kabudi hakuna balozi alithubutu kudharau vienna Convention requirements .

Huyu mama Mulamula mwenye duo citizenship hawajali kabisa akiongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…