SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
- Thread starter
- #241
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Why don't they monitor All trials including those in their own countries?
Non-Interference SHOULD be Absolute.
Hp hivi huwa unaenda kula kwa hao mabalozi?Wafukuzwe then utakula nini?
Stupid idiotKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
😀😀😀 Hakika mkuu 👊Kwani soko la watumwa siku hizi hakuna tuuze watu kama wewe mtuondokee?
Hp hivi huwa unaenda kula kwa hao mabalozi?
Hatahivyo hata njaa itokee na wati wakose milo yao ya siku, ni mabalozi ndio watakao toa chakila cha kuwalisha?
Wanashindwa nini Sudan?
CHADEMA KUTEGEMEA PUSH YA MAGHARIBI NA MAREKANI NI KUJIMISLEAD. WAZO CONSTRUCTIVE KWAO NI KUJENGA MIKAKATI YA SAISA YA NDANI ITAKAYOILETA CCM KARIBU YAO NA KUFANYA SERIKALI IAMINI KUWA CHADEMA NI MDAU WA AMANI. MDIO ALWAYS NASEMA KUWA ZANZIBAR ITABAKI KWA MWALIMU. TUKIAMINI AU TUSIAMINI NI KUWA SIASA ZA CHADEMA ZA KUIPISHA CCM MAGOTI HAZITAFANIKIWA.Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Nimewatukana?Umewahi kwenda Sudani? Au unaona tu kwenye TV
Me nimewahi kwenda, usiombee yale maisha
Yes mabalozi ndio wanafanya uwe na nguvu hata ya kutumia internet ambayo unatumia kuwatukana
Ndio huwaga nasema, CHADEMA itaenda kutuuza mazima.CHADEMA KUTEGEMEA PUSH YA MAGHARIBI NA MAREKANI NI KUJIMISLEAD. WAZO CONSTRUCTIVE KWAO NI KUJENGA MIKAKATI YA SAISA YA NDANI ITAKAYOILETA CCM KARIBU YAO NA KUFANYA SERIKALI IAMINI KUWA CHADEMA NI MDAU WA AMANI. MDIO ALWAYS NASEMA KUWA ZANZIBAR ITABAKI KWA MWALIMU. TUKIAMINI AU TUSIAMINI NI KUWA SIASA ZA CHADEMA ZA KUIPISHA CCM MAGOTI HAZITAFANIKIWA.
Muwaambie wale kijani na serikali yake kurudisha na mikopo yote waliyokopa toka kwenye nchi hizo ambazo mabalozi wake watafukuzwa nchini.Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Mbona mnataka ubabe kwa kila kitu? Nyie si mna wapiga kura wasio na shaka sasa mnahofia nini? Kuweka mambo huru ili mjipime hiyo nguvu mliyo nayo?Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Mnao ubavu wa kuwafukuza au umeamua tu kubwabwaja?Waende wakafanye nini Mahakamani?
Hawana T.V?
Hakuna cha ku ignore
Wakihudhuria, wazuiliwe na baada ya hapo, wafukuzwe.
Bila ya kukukwazaMuwaambie wale kijani na serikali yake kurudisha na mikopo yote waliyokopa toka kwenye nchi hizo ambazo mabalozi wake watafukuzwa nchini.
Siwezi kuamini ulichoandika.Mnao ubavu wa kuwafukuza au umeamua tu kubwabwaja?
Ubavu wa nini wakati Sheria za Kimataifa zinatupa nguvu?Mnao ubavu wa kuwafukuza au umeamua tu kubwabwaja?
Kha! Mimi sijasema umesema tutumie mabavu. Nisome vizuri. Nimekuuliza mnao ubavu(uwezo) wa kuwafukuza au umeanua kubwabwaja ili kupoteza muda?Siwezi kuamini ulichoandika.
Ni wapi hapo niliposema tutumie mabavu?
Ni wazi hujasoma nilichokiandika na kuelewa ....unafuata mkumbo.
Ubavu wa nini wakati Sheria za Kimataifa zinatupa nguvu?
mabalozi wana wajibu wa kufuata miongozo na itifaki za kidiplomasia.
Ni kwamba our sovereignty is at stake
uhudhurio wao una msukumo wa kisiasa na inahalalisha kufukuzwa kutoka nchini.
Kwanini umduminakuwili na unafiki? mvona hatukuwaona wakiwa mahakamani wakati Marie Le Pen wa ufaransa akiswagwa mahakamani kwa kile alichokidai ni tuhuma zilizojaa siasa. Yaani mahakam ya ufaransa ilitumiwa ka silaha kumnyamqzisha kisiasa hoja hii hii ambayo CHADEMA inadai na kuhalalisha uwepo wao Mahakamani- Eti waje waone jinsi mahakama zetu zilivyo🙌🏾
Clearly hujasoma hoja zangu huko juu na ni dhahiri unapelekwa kwa hisia na jazba.