Sasa why wakihudhuria wafukuzwe kama wanachofanya sio kuvunja sheriaSio kosa, na utambue sijatumia lugha kama hiyo.
sijasema popote ni kosa.
soma tena

waraka mreeeeefu unatumalizia mbKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Mahakama sio ghetto kwamba utamzuia mwaju na kumruhusu ashura wewe KhadijaKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Unatarajia balozi wa Burundi kudiriki kwenda mahakamani kwa ajili ya kesi ya LissuOk kwako balozi huwa ni mzunguuu sikujuaaa
Ngoja nikuignore Kwanza ndio nitulie. Ninyi ndio mnaolifanya TAIFA hili lionekane kichwa cha mwendawazimu!Wanasoma na sio ajabu wakatoa msimamo wao.
Tulia sasa.
soko limehamia LumumbaKwani soko la watumwa siku hizi hakuna tuuze watu kama wewe mtuondokee?
umeandika nini sasaKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Unajua unachoongea kweli? Marais wa nchi nyingine wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi ngingine wakati wa uchaguzi na kumpigia debe mgombea mmoja? Sheria hizo za kimataifa ulizoanzishia uzi zinakubali? Ukija na hoja ya kutetea hujuma lazima ujitazame unakidhi vigezo?Hao ni maraisi. Mimi nawazungumzia mabalozi, vitu viwili tofauti.
Kila mwenye akili timamu anajua kesi zenu nyingi dhidi wa wapinzani wa CCM ni zakijinga hivyo watu wote wenye akili timamu hawawezi kuvumilia ujinga wenu. Huko ulaya unakokusema ulisikia nani amebambikiwa kesi za uhaini kisa kuikosowa serikali?Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Sioni tatizo wao kuhudhuria. Tatizo lije pale watakapojifanya wanaingilia maamuzi ya Serikali yetu na vyombo vyake. Hapo ni kutoka mahakamani wapelekwe airport warudishwe kwao.Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Majasusi wanahduhuria kesi ya Lisu watoe mrejesho kwenye mashirika yao ya kijasusi
Swali lako limejengeka, yani ni la kimatiki.Sasa why wakihudhuria wafukuzwe kama wanachofanya sio kuvunja sheria
...sasa inaonekana kuna 'political motivation' kitu ambacho kinaweza kuhalalisha serkali yetu kuchagua kuwafukuza.The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.
tehe hewaraka mreeeeefu unatumalizia mb
nikuulize wewe ati.umeandika nini sasa
Ngoja nikuignore Kwanza ndio nitulie. Ninyi ndio mnaolifanya TAIFA hili lionekane kichwa cha mwendawazimu!
hujui kusoma?Kila mwenye akili timamu anajua kesi zenu nyingi dhidi wa wapinzani wa CCM ni zakijinga hivyo watu wote wenye akili timamu hawawezi kuvumilia ujinga wenu. Huko ulaya unakokusema ulisikia nani amebambikiwa kesi za uhaini kisa kuikosowa serikali?
Their mere attendance signals "International scrutiny", potentially swaying outcomes.Sioni tatizo wao kuhudhuria.
Ni kwamba vyombo vya serikali teyari vimefanya maamuzi ya kumtuhumu na kumpeleka mahakamani. Tunaweza kubaliana? Na kama wakihudhuria, hio teyari itakuwa wanaingilia masuala yetu ya ndani na hapa MahakamaTatizo lije pale watakapojifanya wanaingilia maamuzi ya Serikali yetu na vyombo vyake.
100%Hapo ni kutoka mahakamani wapelekwe airport Warusi kwao.
Inawezekana.Kwani wakihudhuria kusikiliza hao waendesha mashtaka watashikwa na kiwewe au?
Wajinga ndio waliwao,unamkomoa Lissu ili iweje?Je familia yako itaendelea kuneemeka baada ya Tundu Lissu KUNYONGWA?Ujinga ni mzigo.Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.