PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Kwani ni kosa kuhudhuria kesi mahakamanj???
 
Hivi kumbe kuhudhuria mahakamani kusikiliza mwenendo wa kesi/shauri ni kuingilia uhuru wa mahakama? Nilikuwa sijui hili ndugu zangu. Wanasheria tusaidieni kufafanua juu ya hili.
 
Hahahah!! Omba omba hana nguvu.cha kwanza jipangeni bajeti y nchi yako muwezi kuweka PESA 100%
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Je?unajua huyo unayemshitakia akipigwa pini na hao mabalozi kwende kuombaomba ulaya na America wa kwanza kufa na njaa utakuwa wewe?
 
Kama wanaubavu wajaribu kuwafukuza waone moto tutakaouwasha watanzania wapenda mabadiliko.Nchi haitakalika.
Ujue hata ww na familia yako hapata kalika kama unahamu ya familia yako yako kubakwa imbeni pambio za machafuko
 
Labda uwafukuze wa usherisheri ...Balozi wa US, UK na EU wakiamua kuja kusikikiza kesi wewe Serikali utafanya nini?
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.

Kabla ya kuwafukuza kwanini tusifunge malozi huko kwao. Nchi yetu ni omba omba juzi tu wameomba pesa IMF unajua pesa za IMF zinatoka wapi au ni uchawa tu. Ndiyo tunasema nchi hii wajinga jinga wengi bado! Yaani uwafukuze kwenda kwenye kesi ya mtu anaye pigania uhuru wa chaguzi kwa wote! sasa ungetaka waende kwenye kesi za Addul au
 
Anza wewe mwenyewe. Kwani kuwatetea hao mabalozi ni tayari ushauzwa na ni mtumwa wa hawa watu wa Ulaya.

Nimejikomboa from mental slavery.
Umejikomboa wapi wakati ni mtumwa wa watawala?!.
Chawa ni sawa na mtumwa!
 
Ni dhahiri huna akili, au ubongo wako umeng'olewa
 
Hamna ubavu huo.
 
Yaani wao kuhudhutia kunaingilia vipi uhuru wa mahakama?
 
Kesi ya Marie le Pen unafananisha mahakama huru za ufaransa na kangaroo court ya kisutu?? Rostan alishasema kiongozi yeyote wa serikali anampigia hakimu atoe hukumu gani!!!
...na wale mahakimu wa Ufaransa hawakupigiwa simu?

Marie Le Pen kafungiwa kuingia kwenye chaguzi, na ukiwasikia wafaransa, wanasema Mahakama zimetumiwa na Serikali kumzima kisiasa.

Yale yale, na Lissu inasemekana amefunguliwa kesi kuzimwa kisiasa.

Kesi bado hazifanani?

Hayo yakiwa yanaendelea, sikusikia na wala sikuona Mabalozi kutoka nchi yeyote ile kutoka Ulaya wakihudhuria kesi ya Le pen.

Sasa kama waliheshimu mahakama zile, wanashindwa nini iuheshimu zetu?
Ni dhahiri huna akili, au ubongo wako umeng'olewa
Uwe unakuja kuandika Ukweli.

Ati sina akili? Kasome Uzi wako tena. Huu ni moto

huwezi kuwa na akili kubwa kama hii
 
Kabla ya kuwafukuza kwanini tusifunge malozi huko kwao. Nchi yetu ni omba omba juzi tu wameomba pesa IMF unajua pesa za IMF zinatoka wapi au ni uchawa tu. Ndiyo tunasema nchi hii wajinga jinga wengi bado! Yaani uwafukuze kwenda kwenye kesi ya mtu anaye pigania uhuru wa chaguzi kwa wote! sasa ungetaka waende kwenye kesi za Addul au
Hujaelewa nilichoandika na kwa bahati mbaya siwezi kukusaidia
 
Back
Top Bottom