PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waende wakafanye nini Mahakamani?

Hawana T.V?
Hakuna cha ku ignore
Wakihudhuria, wazuiliwe na baada ya hapo, wafukuzwe.
Kama kweli mmedhamiria Tanzania iwe kama Kisiwa, basi mshauri Muasisi wa kesi hii awarudishe nchini Mabalozi wote wanaoiwakilisha Tanzania kwenye nchi za Mabalozi hawa wote unaowatuhumu.
 
Acha wahudhurie ila wasiingile mahakama kwenye maamuzi
Kuhudhiria kwao na optic zitakazotoka pale, ni tosha kufanya ushawishi kwenye maamuzi.

Wafanye mambo yao kama inavyoelezwa kwenye Montevideo Convention Ni hilo tu.
 
The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure

The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure.
Iwapo hakimu ataingiwa na kiwewe kwa kuwaona wazungu basi kiti hicho kimempwaya
 
Na siku hizi Rubio hafichi, wala haoni aibu, uliona alivyomfanyia yule balozi wa Afrika kusini? Na nyie wala hata thamani hamna zaidi ya kuomba, kale kaUbalozi kenu pale DC katafungiwa. Usijaribu kuigiza kunya kwa tembo.
Alimfanya nini na kwa sababu zipi? Alitoa sababu zipi?
 
Majasusi wanahduhuria kesi ya Lisu watoe mrejesho kwenye mashirika yao ya kijasusi
Si hivyo tu, Wizara ya mambo ya nje kupitia Wizara ya sheria inaweza kufacilitate na kuwapelekea yaliyojiri mahakamani neno kwa neno.

Wana ulazima gani wa kuwepo mahakamani?
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Na sisi watanganyika tutakaohudhuria kesi ya uhaini ya tundu Lissu tufanyweje Kama mabalozi watatakiwa kufukuzwa nchini?
 
Posho za hao unaowahauri wafukuze wageni zinategemea hao mabalozi
 
Kumbe hata mavi yako yana nafuu kuliko wewe kwenye taifa yanaweza kuwa msaada wa mbolea kwa waziri wa kilimo bashe kujua tutayatumia vipi ili malawi waache kutuzuia kuingiza mahindi.
Kutukana matusi mtandaoni kunaweza kukugharimu sana, kwani ni kosa kisheria, lakini pia unajishushia heshima, kwani wewe unaona uingiliaji wa mabalozi katika mambo ya ndani ni sahihi? Au kwavile kesi inamhusu Tundu Lisu tu na Chadema yake?
 
Na sisi watanganyika tutakaohudhuria kesi ya uhaini ya tundu Lissu tufanyweje Kama mabalozi watatakiwa kufukuzwa nchini?
Mbona hilo ni rahisi?

Watanganyika sio mabalozi kutoka Ulaya.

Mabalozi wanaongozwa na sheria na kanuni za nchi na zile za kimataifa.

Walishakubaliana montevideo kwamba hakuna kuingiliana mambo ya ndani.
 
Kutukana matusi mtandaoni kunaweza kukugharimu sana, kwani ni kosa kisheria, lakini pia unajishushia heshima, kwani wewe unaona uingiliaji wa mabalozi katika mambo ya ndani ni sahihi? Au kwavile kesi inamhusu Tundu Lisu tu na Chadema yake?
Ahsante Mkuu.

Wanafanya yale tunayoyaita, Ad Hominem attack.

Ushabiki na Matusi yametawala kushinda hoja.
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Thubutu! Kizuka wa Kizimkazi hana uthubutu huo!
 
Back
Top Bottom