PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa taarifa yako hao unaosema wafukuzwe, ndiyo wakiamua sasa wanaweza kukufukuza wewe na ukoo wako wote! Pamoja na hiyo serikali yako yote! na kwenda kuwafukia kwenye yale mashimo maarufu yenye urefu wa futi sita kwenda chini! Halafu hawafanywi chochote.
Jazba za nini Mkuu?

I have too much respect for you.

Pinga basi kwa staha. Kwanini wasifukuzwe. zaidi ya hapo tulia tu.
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.

Wewe kweli umeelemewa na uwendawazimu.

Mahusiano ya kimataifa huzingatia mambo ya msingi ambayo mataifa husika huzingatia. Kuna mataifa ambayo uhusiano wowote na Taifa jingine huzingatia jinsi Taifa wanalohusiana nao linazingatia vipi haki za binadamu.
Hivyo ni vyema mataifa ya kigeni yenye uhusiano na Tanzania kujiridhisha na jinsi nchi ya Tanzania inavyozingatia ulinzi wa haki, kwa kuangalia mwongozo wa Umoja wa mataifa ambao Tanzania imesaini.

Unalinganisha Tanzania na ufaransa, nadhani ni kwa sababu ya ujinga wako au unafiki, hujui kabisa utofauti wa mahakama za ufaransa na za Tanzania. Ufaransa mahakama zake ni huru na zinajitegemea, wakati mahakama za Tanzania zipo chini ya Rais, na utendaji wake unaingiliwa sana maelekezo ya Rais au Serikali.
 
Nakubaliana na hoja ya member fulani alichapisha kuwa JF sikuhizi imepoteza mvuto kwake hasa kwa machapisho kama haya yasio na kichwa wala miguu. Hakika kama hali ikiendelea hivi ni dhahiri JF itapoteza mvuto kwa tulio wengi.
 
Jazba za nini Mkuu?

I have too much respect for you.

Pinga basi kwa staha. Kwanini wasifukuzwe. zaidi ya hapo tulia tu.
Basi ngoja nikujibu kwa sataha! Ni hivi, serikali yako haina iwezo wa kuwafukuza. Achilia mbali kuwazuia kuhudhuria mahakamani. Kwa sababu hao ndiyo wamiliki wa hii dunia.

Kwa hiyo serikali yako haina jeuri ya kuwafukuza! Kwa sababu matokeo ya kuwakufukuza ni makubwa zaidi kuliko hayo ya kuwaacha kwenda mahakamani kubudhuria hiyo kesi.

Hapo vipi! Umeelewa?
 
Kwani huko Mahakama mnaficha nini Ndugu? Hili giza litawaangamiza nyie wenyewe
Hakuna linalofichwa Bush Dokta.

Hatahivyo, hoja ni wafukuzwe kwa kukiuka kanuni na sheria za nchi na za kimataifa. Waache unafiki na Unduminakuwili.

Marie Le Pen kafikishwa mahakamani Ufaransa, kakutwa na hatia, na sasa hata akitoka hawezi kugombania Urais kwa miaka mitano.

Uliona mabalozi kutoka nchi yeyote kutoka ulaya wakihudhuria kesi yake?

Kwanini wahudhurie za kwetu wakati kesi zinafana fanana.

Unafikiri kesi ile haikuwa ya Kisiasa?
 
Basi ngoja nikujibu kwa sataha! Ni hivi, serikali yako haina iwezo wa kuwafukuza. Achilia mbali kuwazuia kuhudhuria mahakamani. Kwa sababu hao ndiyo wamiliki wa hii dunia.

Kwa hiyo serikali yako haina jeuri ya kuwafukuza! Kwa sababu matokeo ya kuwakufukuza ni makubwa zaidi kuliko hayo ya kuwaacha kwenda mahakamani kubudhuria hiyo kesi.

Hapo vipi! Umeelewa?
Punguza jazba ni kuelewe.
Umeelewa?
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Unaelewa maana ya nchi kupigwa mnada!!??
 
Tokea lining mahakama inapiga marufuku watu kuhudhuria kesi unless otherwise iwe kesi ya minor au mambo ya matrimonial.
Ila kesi karibia zote umma uraruhusiwa kuhudhuria
Hakuna pahali nimesema mahakama zipige marufuku watu kuhudhuria kesi.

Nimetoa rai tu. Soma tena nilichoandika mkuu
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convenient.
Na siku hizi Rubio hafichi, wala haoni aibu, uliona alivyomfanyia yule balozi wa Afrika kusini? Na nyie wala hata thamani hamna zaidi ya kuomba, kale kaUbalozi kenu pale DC katafungiwa. Usijaribu kuigiza kunya kwa tembo.
 
Unawezakuta wewe ni mutu mukubwa ndani ya CCM au Serikali yake mwenye mawazo mfu namna hii.

Mmekurupuka pamoja na M/Kiti wenu Taifa bila kuwaza athari za mashitaka yale. Sasa kesi iko Mahakamani tulieni Maamuzi ya kumtia hatiani Mh Lissu yaweze kufikiwa Mahakamani. Kisha Mahakama iliyo huru iweze kumhukumu kwa Uhani. Huku Mabalozi wakiwa huru kushuhudia hukumu hiyo ya kumtia kitanzi Mh Lissu.
 
Akili yako inakusaidia kwenda chooni tu unajua mabalozi waliopo hapa nikama wale wa CCM mtaani kwako? Hizi sifa mnazotoa kila kukicha ni pesa za hao mabalozi!
 
The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure.
EEnhe!😳 Hivi kumbe ukiandika kwa kiingereza 👆(Lugha ya waliotutawala zamani) huwa ndo inaonesha msisitizo zaidi au ndo kusema uko-siriasi?
 
Back
Top Bottom