PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona hilo ni rahisi?

Watanganyika sio mabalozi kutoka Ulaya.

Mabalozi wanaongozwa na sheria na kanuni za nchi na zile za kimataifa.

Walishakubaliana montevideo kwamba hakuna kuingiliana mambo ya ndani.
Kwahiyo wewe unaona kusikikiza Ni kuingilia Mambo ya ndani? Mbona mkienda kuomba misaada wanawasikiliza? Huko siyo kuingilia umaskini wa ndani?
 
Anza wewe mwenyewe. Kwani kuwatetea hao mabalozi ni tayari ushauzwa na ni mtumwa wa hawa watu wa Ulaya.

Nimejikomboa from mental slavery.
Slavery is the same whether it’s from Samia or other oppressive powers! Ccm has colonized your minds and it has turned into a CULT!
 
Iwapo hakimu ataingiwa na kiwewe kwa kuwaona wazungu basi kiti hicho kimempwaya
Kuwaachia kuhudhuria kesi kubwa kama hii ya Uhaini ya Tundu Lissu, Serikali ndio itakayopwaya.

Wakemewe kuingilia mambo yetu ya ndani na hususani mahakama zetu.

Our Sovereignty is non-negotiable.
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
International relation haiko hivyo, hiko kitu hakiwezekani na hakito tokea. Afterall hamna kosa wamenya kisheria, and hawawajibiki kwa serikali ya tz
 
Lissu ndiye jabali la siasa za upinzani kwa sasa, acha mabalozi wahudhurie wajionee wenyewe. Kuwazuia wasihudhurie huko ni kuzichokoza nchi wahisani na wafadhili wa maendeleo ya nchi waone nchi hii ina ushetani mwingi
 
Lissu ndiye jabali la siasa za upinzani kwa sasa, acha mabalozi wahudhurie wajionee wenyewe. Kuwazuia wasihudhurie huko ni kuzichokoza nchi wahisani na wafadhili wa maendeleo ya nchi waone nchi hii ina ushetani mwingi
..Mkuu, na wasipohudhuria watakosa na kupoteza nin?
 
The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure.
They you have no idea, according to viena convetion on diplomatic relation 1961 that tanzania abides to, no rules will be broken if diplomats attend court session.

They only break rule if the force court decision.

Since they have not done that, your topic is nullified, as white man said, you dont know shit
 
International relation haiko hivyo, hiko kitu hakiwezekani na hakito tokea. Afterall hamna kosa wamenya kisheria, and hawawajibiki kwa serikali ya tz
Wanawajibika na treaties walizokubaliana. Mfano

Monetevideo Convention.

pekua ujiridhie.
 
Na km ujue bas nakujurisha 80% ya pesa za uchaguzi zinatoka ulaya na America
Kwa ufupi hao unaotaka wafukuzwe ndo wanatoa pesa ya uchaguzi kwa lugha rahisi raia wao ndo wanatozwa kodi kwa ajiri ya uchaguzi wako,

Na mwaka huu sjui km watatoa izo pesa
 
Wanawajibika na treaties walizokubaliana. Mfano

Monetevideo Convention.

pekua ujiridhie.
Well i know the laws but unajua immunity yao towards certain cases?
Hawawajibiki for everything, labda ww ndio usome uelewe
And lastly hawavunji sheria kuhudhuria kesi, hakuna sheria au taratib ina prohibit wao kuhudhuria
 
They you have no idea, according to viena convetion on diplomatic relation 1961 that tanzania abides to, no rules will be broken if diplomats attend court session.

They only break rule if the force court decision.

Since they have not done that, your topic is nullified, as white man said, you dont know shit
Hujasoma nankuelewa nilichoandika.

Mzee Kikwete a Black man naye alisema...kiunagaubaga, akili za wengine ongeza na za kwako.

So far umeshindwa kutanya hivyo.

Nikuulize since you know 'shit'

Kwanini wasizuiliwe kuingia mahakamani na wasifukuzwe kutoka nchini?

Let me hear it..
 
Hujasoma nankuelewa nilichoandika.

Mzee Kikwete a Black man naye alisema...kiunagaubaga, akili za wengine ongeza na za kwako.

So far umeshindwa kutanya hivyo.

Nikuulize since you know 'shit'

Kwanini wasizuiliwe kuingia mahakamani na wasifukuzwe kutoka nchini?

Let me hear it..
Dude stop this ngonjera, kuna professionals huku wengi tu, iko hivi wengine tuna internationa exposure and we know how things works

Lastly na narudia tena, diplomats watagudhuria , penda usipende, na hamna ubav wa kufukuza wote, hamjawahi kuwa nao before na hamtakuwa nao leo.
 
Kesi ya Marie le Pen unafananisha mahakama huru za ufaransa na kangaroo court ya kisutu?? Rostan alishasema kiongozi yeyote wa serikali anampigia hakimu atoe hukumu gani!!!
 
Mtoa mada ungeleta majukumu ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa kwetu kwanza ndipo tuanze kuyajadili.
Wakiudhuria kwenye shuguhuli za sherehe ni sawa ila wakiudhuria kwenye majadiliano ya kuhusu usalama yao hapa nchini ni tatizo.
Unakumbuka uasi iliyosababisha kifo cha Rais wa Misiri nilisababisha na vifo vya Balozi wa Marekani pamoja na Balaoxi wa Cuba pamoja na majuruhi wengi sana wa mabalozi mbalimbali?

Yaani Gaidi mkuu nchini ameshtakiwa then hutaki wakasikilize kesi make yawezekana gaidi alipanga kuwalipuwa ofisi zao..
 
Back
Top Bottom