PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Well i know the laws but unajua immunity yao towards certain cases?
Sawa but What do you mean by certain cases? Kesi niliyoorodhesha ni ya Uhaini ya Tundu Lissu na ni kesi nyeti sana.
Hawawajibiki for everything,
Perfectly right, but we are not talking about Everything here.
labda ww ndio usome uelewe
Nimelewa na ndio sababu nimeandika nilichoandika.
And lastly hawavunji sheria kuhudhuria kesi, hakuna sheria au taratib ina prohibit wao kuhudhuria
Umesoma hoja zangu?
 
Ka
The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure.
Kama hujui duniani mataifa huru ni ma4 pekee
Marekani
China
Urusi
Baaaasi nani kakudanganya kuwa Tanzania ni huru??
 
The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure.
Rubbish
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Kama vipi tumtume abdul awanyooshe
 
Mtoa mada ungeleta majukumu ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa kwetu kwanza ndipo tuanze kuyajadili.
Nisaidie tu kuweka hayo majukumu.
Wakiudhuria kwenye shuguhuli za sherehe ni sawa ila wakiudhuria kwenye majadiliano ya kuhusu usalama yao hapa nchini ni tatizo.
Sherehe ni suala zito la Mahakama?
Unakumbuka uasi iliyosababisha kifo cha Rais wa Misiri nilisababisha na vifo vya Balozi wa Marekani pamoja na Balaoxi wa Cuba pamoja na majuruhi wengi sana wa mabalozi mbalimbali?
Hapana, sikumbuki.
Yaani Gaidi mkuu nchini ameshtakiwa then hutaki wakasikilize kesi make yawezekana gaidi alipanga kuwalipuwa ofisi zao..
Hao huwa na taarifa za Kiintelijensia, vilevile wanauwezo wa kuomba na kupewa taarifa motomoto kutoka serikalini.

Wanaenda mahakamani kufanya nini kama sio kuingilia uhuru wa nchi na mahakama zetu?
 
Sawa but What do you mean by certain cases? Kesi niliyoorodhesha ni ya Uhaini ya Tundu Lissu na ni kesi sana.

Perfectly right, but we are not talking about Everything here.

Nimelewa na ndio sababu nimeandika nilichoandika.

Umesoma hoja zangu?
Nimesoma hoja vizuri ila nadhani zangu hujasoma, nimekupa kifungu cha sheria kinachohusiana na diplomats, kinaelezea miapaka ya diplomats.
The proble you dont read that, katika hoja zako na how hiyo kesi inaenda no where diplomats wame attempt ku meddle with that case by anymeans necessary
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Viongozi wa Taasisi za Dini nao watahudhuria na wao unashauri WABAMBIKIWE KESI gani?!
 
wakihudhuria wale wenye makanisa madogo watakutana na changamoto ya kuendesha makanisa yao. Waroma wakihudhuria wataogopwa maana wale ndio causa na finita wa siasa za dunia hii
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu​

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Nenda ubalozini kawaulize wao!
 
clinician zile mada za kiwango cha primary school ukiziongelea ..
 
Kuhudhuria kusikiliza kesi mahakani ni kosa?

Hata wewe inaruhusiwa kuhudhuria kusikiliza mashauri Mahakamani
 
Kwenye vikao vyenu huko mngekuwa mnahimizana kutenda HAKI msingekuwa na hofu mliyo nayo sasa. Lakini kwa kuwa mmechagua UOVU ngoja mvune mnachopanda!
 
Ukiona ushauri kama huu unatolewa jua hakuna haki inayotendeka kwenye hizo mahakama, bali sheria zinatumika silaha ya kukomoa wakosoaji wa serekali. Mbona hao mabalozi huwa wanashiriki kwenye hafla nyingine na hutaki wazuiwe? Sovereignity sio kwa ajili ya kuficha ukandamizaji wa madai halali.
 
Back
Top Bottom