Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwa watu kama nyie kwanini msionekane vilaza(ccm),watu wanataka uchaguzi huru na haki nyie mmebakiza porojo tu za kijinga na kubambikizia watu kesi za hovyo.Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
wanakurupuka tu, hawa madogo hawaelewi chochote...SIsi mbona hatuwezi watetea hao mabig. Sisi ni watu wadogo. Watajitetea wenyewe. Pili nchi yetu ilisahini sheria za uhusiano wa kimataifa. Kwa hiyo nyamaza. Ukiwafukuza jipange sawasawa.
Kwani wewe hofu yako ni nini!!?,kwani watasimama kwenye vizimba au watakua wamekaa vitini?,,Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Umekunywa ngapi?!!!!Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Anayekulisha ndo anayeamua ratiba zako za siku.Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Akaweke ubongo wake maabara ili wanafunzi wa Biologia wapate kujifunzie somo la ubongo wa Afya ya Akili!Kwani soko la watumwa siku hizi hakuna tuuze watu kama wewe mtuondokee?
Kabisa fukuza woteKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Wacha tujifunze wenye Afya ya Akili mbovu!Nakubaliana na hoja ya member fulani alichapisha kuwa JF sikuhizi imepoteza mvuto kwake hasa kwa machapisho kama haya yasio na kichwa wala miguu. Hakika kama hali ikiendelea hivi ni dhahiri JF itapoteza mvuto kwa tulio wengi.
Kwani wakihudhuria wanabadilisha kesi au kosa au hukumu? Si wanatumia muda wao wenyewe 😀😀😀😀😀😀😀😀Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.
Soma pia
Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.
![]()
PreGE2025 - Tetesi: - Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu
Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...www.jamiiforums.com
Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:
Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?
Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.
Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.
Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?
Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?
Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:
Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable
Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.
Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.
Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Unajua maana ya balozi na kazi za balozi?Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

raha ya mechi mashabikiKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

yale mabomu na magari ya washawasha yaliyoandaliwa kwa wanachadema yatumike kuwatimua hao mabaloziKwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Hivi kwani ukiwa CCM lazima uwe na akili za *******..???Mbona unajikanganya?
Uchawa halafu tena simtaki mema?
Wafukuzwe