SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
- Thread starter
- #181
Another racist twaat trying to meddle in our internal affairs.Another neck supporting an empty coconut š„„ head.
Another racist twaat trying to meddle in our internal affairs.Another neck supporting an empty coconut š„„ head.
You have totally missed the point.Huko mahakama ni huru, hata wasipoenda kuna mazingira ya mahakama zao kuaminika.
Unavosema wazuiwr wasihudhurie kesi ni kuwazuia wasitumize majukumu Yao,,,,na kama kitu hukijui kaa kimya usitumie hisisa panapotakiwa taarifa sahihiwewe unayejua utuelezee
Kwa ujasiri huo huo nenda kawafokee hao mabalozi live kama ulivyofoka humuniende kufanya nini wakati orodha anayo Erythrocyte?
Hilo halinihusu na wala sijafuatilia. Mimi nafuatilia ukweli ambao nina ushahidi nao hapa nchini.You have totally missed the point.
Nauliza, Kesi ya Marie Le Pen ilikuwa ya kisiasa ama sio ya Kisiasa?
Nilitaka kusema hivi, umeniwahi.Kwamba wakifika kortini watazuia haki kutendeka? Acha utoto
Na kwa msingi huo...Case Closed.Hilo halinihusu na wala sijafuatilia. Mimi nafuatilia ukweli ambao nina ushahidi nao hapa nchini.
Wanasoma na sio ajabu wakatoa msimamo wao.Kwa ujasiri huo huo nenda kawafokee hao mabalozi live kama ulivyofoka humu
Hilo unajua ww, tulimuona Rais wa Burundi Uganda na Malawi wakija hapa nchini wakati wa kampeni za uchaguzi, na wakawa wanasema achaguliwe Magufuli wakati sheria za kimataifa hazirihusu hilo. Mbona hukuanzisha uzi kipindi hicho, ama hakuwa unajua kutumia mitandao?Na kwa msingi huo...Case Closed.
Mimi ninao Ushahidi wa Le Pen.
Aurevwaaa
...huwa unazipenda kuzisoma? Kwanini usisepe tu.
Tulia
Kuhudhiria kwao na optic zitakazotoka pale, ni tosha kufanya ushawishi kwenye maamuzi.
Wafanye mambo yao kama inavyoelezwa kwenye Montevideo Convention Ni hilo tu.
Kinacho kuuma ni nini haswa?Bila kumbusha utaandika Hadi za chekechea!
Hao ni maraisi. Mimi nawazungumzia mabalozi, vitu viwili tofauti.Hilo unajua ww, tulimuona Rais wa Burundi Uganda na Malawi wakija hapa nchini wakati wa kampeni za uchaguzi, na wakawa wanasema achaguliwe Magufuli wakati sheria za kimataifa hazirihusu hilo. Mbona hukuanzisha uzi kipindi hicho, ama hakuwa unajua kutumia mitandao?
Kinacho kuuma ni nini haswa?
Jiondoe ufahamu, hiyo ni haki yako.
Vilevile, ni haki yangu where I dare.....openly.
Another mouth vomiting nonsense.Another racist twaat trying to meddle in our internal affairs.
Ukiwa shabiki wa CCM wewe ni msukule/kilaza/zwazwa/mtumwa wa kiakili.Anza wewe mwenyewe. Kwani kuwatetea hao mabalozi ni tayari ushauzwa na ni mtumwa wa hawa watu wa Ulaya.
Nimejikomboa from mental slavery.