View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
leo ndio mnasema hivi siyo ?
leo ndio mnasema hivi siyo ?
Hata maofisini picha zishabadilishwa kitambo zipo za nyerere na mama samiaView attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Wakenya,na hulitumia sana kwenye habari zao.Hivi mwasisi wa jina mwenda zake ni nani?
Unamaana gani?wema
Imebakia story, umekuwa mpole sana kipindi hiki, anyway nakutakia pasaka njema na buku7 Wenzio, sijui mama kitengo atakilinda.Ama kwa hakika tenda wema uende zako usingoje shukrani!
Watajifunza basi?Funzo kubwa hilo kwa walobakia
Mapango yalikuwa ya Uchaguzi Uchaguzi umekwisha sasa ya niniView attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Wanadamu tunasahau fastaWatajifunza basi?
Kuna wakati unakuwa na akili tofauti na huyu binti Jane LowassaKwani hayo mambango yana kazi gani?
Mbona Yalitakiwa kuondolewa mara tuu baada ya uchaguzi kwisha?