Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

Wayaondoe fasta. Wamechelewa. Uchaguzi uliisha siku nyingi.
Watubandikie Mabango yenye kutahadharisha upigaji wa Nyungu na Viungo vingine vya Pilau dhidi ya Corona.

Ujumbe uwe:

Vaeni Barakoa kaeni umbali wa mita mbili

Hiyo ingesaidia kupunguza vifo na mateso dhidi ya Wazee na Wagonjwa wetu
 
Kweli kufa kufaana! Haya mabango yalitarajiwa kudumu mpaka 2025! Na hakuna ambaye alijaribu hata kuyagusa tu na mkono! Ila leo yanatolewa kwa kutupwa tu chini!

hayaheshimiki wala kuogopwa tena!
Kwa hivyo unataka kusema mabango hayo yalikuwa yakiheshimika na kuogopwa hapo nyuma? Kama bango tu linaogopesha je mwenyewe si alitisha kabisa,?
 
Gia angani ? Hata wewe haya mabango yalitakiwa yajengewe temple kila yalipo ili waimba mapambio ya kusifu na kuabudu , wewe na kundi lako mpate pa kuabudia jamani , mbona mapema hivi ?

Acha ushamba basi!!!!!! Unaonekana umejawa chuki badala ya hoja

Mtaani kwetu yaliondolewa tangu december na hata haikua tabu

Mabango yatachakaa ila JPM ataishi karne kwa karne
 
Yaani Mataga kwa akili zenu mlitaka wimbo wa Afrika mashariki upigwe, wawepo pia na watu wenye Barret nyekundu kwa heshima ndio waondoe hayo mabango? tena mradi haramu uliopoteza fedha nyingi za watanzania? Poor idiots!!
 
Wapendwa poleni na majukumu, mbona siku hizi mm nashindwa kufungua picha za JF kwa phone yangu?
 
View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .

View attachment 1742435
Muda wake wa matumizi sasa umekwisha yamebaki kuwa uchafu yanatakiwa yachomwe moto kutunza mazingira asiyependa yanayofanyika basi azunguke ayakusanye ayapeleke kwake au Chato yakahifadhiwe kwenye magofu yaliyobaki baada ya Covid-19 kufunga kazi.
 
Mtoa mada ulitaka wayaache ili iweje wakati mtu kafariki na kuyaacha inakuwa sio picha nzuri
 
Back
Top Bottom