Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
👊👊Funzo kubwa hilo kwa waliobakia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👊👊Funzo kubwa hilo kwa waliobakia
Wayaondoe fasta. Wamechelewa. Uchaguzi uliisha siku nyingi.Funzo kubwa hilo kwa waliobK
Watubandikie Mabango yenye kutahadharisha upigaji wa Nyungu na Viungo vingine vya Pilau dhidi ya Corona.Wayaondoe fasta. Wamechelewa. Uchaguzi uliisha siku nyingi.
Kwa hivyo unataka kusema mabango hayo yalikuwa yakiheshimika na kuogopwa hapo nyuma? Kama bango tu linaogopesha je mwenyewe si alitisha kabisa,?Kweli kufa kufaana! Haya mabango yalitarajiwa kudumu mpaka 2025! Na hakuna ambaye alijaribu hata kuyagusa tu na mkono! Ila leo yanatolewa kwa kutupwa tu chini!
hayaheshimiki wala kuogopwa tena!
cocochanel unalipi la kutuambia kuhusu hii tabia iliyozuka ghafla baada ya Magufuli kufariki?
Gia angani ? Hata wewe haya mabango yalitakiwa yajengewe temple kila yalipo ili waimba mapambio ya kusifu na kuabudu , wewe na kundi lako mpate pa kuabudia jamani , mbona mapema hivi ?
Magufuli alishakufa na kuzikwa, labda kuoza ndio bado.Acha ushamba basi!!!!!! Unaonekana umejawa chuki badala ya hoja...
The legacy is vanishing at tremendous speed..View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Mabango hayo yalitolewa kufuata sheria ya uchaguzi Tanzania, siku moja kabla ya uchaguzi wa 2020 ambapo JPM alishinda. Weka video nyingine kwa story hii.View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Magufuli alishakufa na kuzikwa, labda kuoza ndio bado.
bygone : mwendazakeHili ni neno linalotumiwa sana Kenya. hivyo nazani asili yake ni Kenya.
Update appWapendwa poleni na majukumu, mbona siku hizi mm nashindwa kufungua picha za JF kwa phone yangu?
Usitumie laini ya Voda.Wapendwa poleni na majukumu, mbona siku hizi mm nashindwa kufungua picha za JF kwa phone yangu?
Muda wake wa matumizi sasa umekwisha yamebaki kuwa uchafu yanatakiwa yachomwe moto kutunza mazingira asiyependa yanayofanyika basi azunguke ayakusanye ayapeleke kwake au Chato yakahifadhiwe kwenye magofu yaliyobaki baada ya Covid-19 kufunga kazi.View attachment 1742435
Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
View attachment 1742435
Hakutenda wema mtu huyu bali alijificha kwenye migongo ya walalahoi.Ama kwa hakika tenda wema uende zako usingoje shukrani!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]mimi natumia vodaUsitumie laini ya Voda.