Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Hizi sijawahi ziona kwenye transit.

Labda ziwe zinasambaza bidhaa mijini.
 
yap
ni Dc 13 ile gari , engine yake bado ipo productiin pipeline to date , latest Dc 13 ina 540 hp.
bei yake haitofautiani sana na next generation scanai
Chief.

Kuna swali huwa najiuliza.

Kati ya kubeba dry cargo au fuel ipi rahisi? Yani haiumizi gari, inadumu muda mrefu?

Na ipi kati ya fuel inalipa haraka kwa mfanyabiashara, na hela inarudi kwa wakati?
 
Chief.

Kuna swali huwa najiuliza.

Kati ya kubeba dry cargo au fuel ipi rahisi? Yani haiumizi gari, inadumu muda mrefu?

Na ipi kati ya fuel inalipa haraka kwa mfanyabiashara, na hela inarudi kwa wakati?
fuel ni mzigo rahisi kuliko dry cargo kwa sababu kuna guarentee ya kurudi empty, ila nimkazi ambayo inatakiwa uwe na security za kutosha , na uwe na mtaji wa kutosha
kiufupi kazi za mafuta sio kwa masikini
 
Naomba unielezee kidogo.

Kwanini sio nzuri kwa masikini? Manake tender ni kusafirisha mafuta toka A kwenda B.

Na truckers wa bongo huwa wanapenda ipi? Dry cargo au Fuel?
 
Unafikiri mchina hawezi kutengeneza gari ngumu ?
Business plan ya mchina ni kuteka soko la watu masokini duniani.
Bila mchina nauli zingekuwa juu sana, maisha yangekuwa magumu sana, boda bosa zingekuwepo watu wangekuwa wanatembea kwa miguu, baiskeli na mikokoteni ingetawala.
Mchina anajua kukopi kila kitu na kukifanya atakavyo.
 
lini mchina ametengeneza kitu chochote kinachotunza thamani? sio gari tu niambie chochote kile , nina feni ya sanyo , nimezaliwa nimeikuta na hadi leo ipo nikitaka naiwasha napunga upepo , unazungumzia miaka 40+ na haijawahi kupelekwa kwa fundi,
unapozungumzia wachina kama msaada kwetu utakuwa unafeli sana , na nahisi hijawahi kukutana nao uone wanawaza kuhusu sisi , kiufupi sio msada kwetu na ilengonlao kubwa ni kutudumaza tuwe tegemezi kwao, ni ukoloni mbaya sana wana implement, kusgunda ule ukoloni wa mzungu ambao kulikuwa na exit plan.
mchina anakuuzia kitu kwa bei rahisi halafu hakidumu unajikuta kila siku u anunua yeye anapiga pesa ww unazidi kuwa masikini
 
Mwambie huyo
 
Nilijishauaga siku moja nikatinga pale saab scania kuulizia bei ya malori. Niliondoka pale nikiwa najiuliza, hivi nilienda kuulizia bei ya malori au ndege. Ingawa wanatoa option ya financing ni bora mtu ujichangange ununue mtumba cash.
Dah!!! you made my day huwa nina shauku kubwa sana ya kujua bei za haya madude mkuu embu tupe kidogo bei hizo maana ukizikuta barabarani mfano zile xt model za asas na zile g series za world oil huwa najiuliza sana bei zake!!!!
 
Huyu jamaa anapenda kweli Scania lakini hamna gari laini kama Scania tuache unazi Mswedeni gari zake hazitaki shida Volvo hizi Scania jamii ya R au G
 
Lakini mkuu embu niambie tuache unazi Scania gani inaweza kutia mguu kwa gari ya Kimarekani Intanation au Fretline Agosi kwa ugumu kwa mbio hata kwa kudumu
 
Lakini mkuu embu niambie tuache unazi Scania gani inaweza kutia mguu kwa gari ya Kimarekani Intanation au Fretline Agosi kwa ugumu kwa mbio hata kwa kudumu
swali lako lingekuwa zuri zaidi kama haya ungenitajia ni engine ipi ya kimarekani unataka kuilinganisha na engine ipi ya scania.
lakini nataka nikupe clue tu kuwa americans , never runs heavy.
 
Huyu jamaa anapenda kweli Scania lakini hamna gari laini kama Scania tuache unazi Mswedeni gari zake hazitaki shida Volvo hizi Scania jamii ya R au G
kaa hapo morogoro road , im sure utaona 113 tele nyingi zimebeba mbao, mara ya mwisho gari hizi zilitengenezwa kiwandani mwaka 1995, unazungumzia 26+.ya maisha .

lakini pia lengo la majadiliano kama haya, ni kujulishana tu wapi mtu aweke pesa zake in case anataka kufanya biashara hii, hujakatazwa unaweza ukaweka kwenye benz, stralis etc , ili uje utoe ushuhuda hapa na watu wajifunze ,
 
Dah!!! you made my day huwa nina shauku kubwa sana ya kujua bei za haya madude mkuu embu tupe kidogo bei hizo maana ukizikuta barabarani mfano zile xt model za asas na zile g series za world oil huwa najiuliza sana bei zake!!!!
Kuanzia usd $100,000 lakini pia kuna costs nyingine. Mind hiyo ni tractor tu, utahitaji attachments kutegemeana na kazi unayotaka kufanya. Utaona kabisa huo uwekezaji kwa mchumia tumbo wa kawaida ni almost na 'myth' kwake.
 
Kanunue vitu vya mtumba kutoka ualaya vilivyozalishwa China ndio utajua.
Kuna baiskeli ya mtumba nilinunua ilikuwa made in china ilikuwa chuma cha pua. Nimekwambia business plan ya mchina ni kuuzia watu masikini.
Sasa akiunda vitu kama vya ulaya hao nasikini watapata wapi mahitaji.
Mi naipenda model ya wachina ya kutatua changamoto za masikini wasio na pesa ya kumudu vitu OG. Kama unahela kanunue vya mjerumani.
Mchina ndio mwenye teknolojia ya 5G. UK, Germny nk wemengia mikataba kufungiwa hio mitambo, kwa hio wazungu hawajui kama mchina anavitu fake?
 
umezungumzia scenario mbili tofauti kabisa
mimi nazungumza habari ya ubaya wa mchina nikiwa namtumbo , wewe unaniambaia nikitaka kuona uzuri wa mchina niende silcon valley, kweli tupo kwenye jukwaa moja?
ili nijiuwe mchina ni mzuri kwa nn asilete products nzuri nikiwa hapa hapa namtumbo?
 
Tatizo bei..

Pikipiki mfano ya haojue cc150 ama 125 uuziwe milioni 6/5 inakuwaje hapo, je bodaboda tungepanda nauli kwa shilingi ngapi!?

Ndio nilichomuelewa mwamba hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…