mlima
nipo kwenye hiyo industry simaanishi upendeleo bali facts and only facts ,
tuliwahi kubishana hapa kuhusu merc benz , nataka nikwambie kwa njia ya songea waulize transafrica watakupa majibu, wamepigwa na expensive breakdowns za kutosha na hadi saa hii wameamua kununua fleets za howo 50 , no benz anymore.mind you benz zilikuww low milage trucks
habari za daf kuwa powerful sio za mtaan. zipo na zinaishi ukikutana na euro 5 au six daf utakuja kuhadithia
kuhusu scania kutumia american engine huo ni uzushi, scania haijawahi kuwa na engine options kutoka kwa mtengenezaji yoyote zaidi yao na ndio sababu alilikosa soko la america kutokana na misimamo huo , L series unayosemea ilitengenezwa kwa mara ya mwisho 2005 , baada ya hapo kukaja P R T &G series , hiyo L series ya mwaka 2017 haipo.
nikipata muda nitakupa link uone jinsi kampuni ya kijerumani ambayo ina miaka 86 ya haulage ku supply metal kwenye kiwanda cha kutengeneza magari ya benz.mwaka huu wameamua kutumia truks za vovlo fh750 pamoja na scania 770s , kufanya kazi hiyo , pia wameshinda kesi ya msingi ya fidia kwa benz , kwa kuwa truck zao hazikuwa reliable baada ya km 500,000 za mwanzo, demo volvo did 1000000 km , without breakdowns, the easy way outsmarting nealy all benz, terrain ni 620km ya milima mikali mixer snow.
so to build your next merc truck , material will be supplied by swedish volvo and scania in German territory.