HewaaaTatizo bei..
Pikipiki mfano ya haojue cc150 ama 125 uuziwe milioni 6/5 inakuwaje hapo, je bodaboda tungepanda nauli kwa shilingi ngapi!?
Ndio nilichomuelewa mwamba hapo juu.
Hii ndio tabia yetu waafrika,ushabiki mbele hatunaga ku-balance hoja!Kuna watu ni hodari wa kuzungumza huwezi washindwa hta km alitamka mwenyew anaeza geuza na akakushinda pia
Mkuu Kuna hii kampuni mpya ya mabasi yanakwenda Mwanza inaitwa Hunters luxury kwa aina ile ya mabasi na idadi yake ataweza kudumu ktk game? Au ni Bora angenunua tuu fleet za kichinaEither hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.
Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku
Sent
Mkuu umesema ukweli .Ungekuwa Arusha ningekupeleka Picnic Bar nikakupe Kirikuu baridi .Nimepitia karibu comment zote wanakandia sana haya Magari ya Kichina.Bus Scania milioni 900 basi Moja tu .na za Kichina basi moja milioni 250 si Bora ununue za Kichina bus 4 ufanye Biashara ambazo zitakuingizie faida nyingi kuliko kutumia hela nyingi kununua basi Moja tuu huoni mzunguko wa hela utakuwa mgumu ?Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida
Kuna route huwezi kupeleka hizo Youtong, mfano Dar Songea.Mkuu umesema ukweli .Ungekuwa Arusha ningekupeleka Picnic Bar nikakupe Kirikuu baridi .Nimepitia karibu comment zote wanakandia sana haya Magari ya Kichina.Bus Scania milioni 900 basi Moja tu .na za Kichina basi moja milioni 250 si Bora ununue za Kichina bus 4 ufanye Biashara ambazo zitakuingizie faida nyingi kuliko kutumia hela nyingi kununua basi Moja tuu huoni mzunguko wa hela utakuwa mgumu ?
Ku' balance hoja' , ni neno la kisiasa tunalitumia waafrika tunapotaka ku compromise facts .Hii ndio tabia yetu waafrika,ushabiki mbele hatunaga ku-balance hoja!
Hizo ulizoziona ni Howo na sio shacman trucks , Dangote , hajawahi kuwa na Shacman ,Dangote kwa sasa ana trucks nyingi zinazotumia Cng gas kwenye hauling industry, Blue coast naye nimemuona anatumia original scania next gen Cng.Mbona kwenye huu Uzi hamjazungumzia kabisa Howo au Shacman trucks .Nazionaga zinapita hapa Ngarenaro zimebeba cement ya Dangote na zina mitungi ya gas mbada ya diesel.Howo truck haiwezi kukutoa?
Ipo hiviMkuu umesema ukweli .Ungekuwa Arusha ningekupeleka Picnic Bar nikakupe Kirikuu baridi .Nimepitia karibu comment zote wanakandia sana haya Magari ya Kichina.Bus Scania milioni 900 basi Moja tu .na za Kichina basi moja milioni 250 si Bora ununue za Kichina bus 4 ufanye Biashara ambazo zitakuingizie faida nyingi kuliko kutumia hela nyingi kununua basi Moja tuu huoni mzunguko wa hela utakuwa mgumu ?
Hiyo route ya Dar Songea mbabe wao ni New Force ambae ni mchina 100%Kuna route huwezi kupeleka hizo Youtong, mfano Dar Songea.
Abood anazo Youtong lakini mpaka kesho ni lazima anunuwe na Scania kwa special mission.
Route za Dar Moro hata bajaj unaweza kutumia.
Hata kariakoo unaweza kununuwa mokasini ya Mchina kwa sh 20,000/= ukatumia wiki mbili.Hiyo route ya Dar Songea mbabe wao ni New Force ambae ni mchina 100%
Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..
Mkuu nilishakwambia gari ni matunzo tu kuanzia maintainance mpaka driver.
Kama gari haitunzwi haiwezi kudumu!
Madhaifu hata scania wanayo sema kutokana na spare kuzagaa, ni rahisi kufix tatizo na watu kuona ni jambo la kawaida.
Halafu, Kwenye tuzo za international truck of the year (ITOY) benz wamechukua nyingi kuliko scania, je hao wapiga kura hawayajui madhaifu ya benz au benz wanabebwa?
| Year | Winner | Third place |
|---|---|---|
| 2018 | DAF New XF/CF | Scania XT range |
| 2019 | Ford F-Max | Volvo FH & Volvo FM LNG |
| 2020 | Mercedes-Benz Actros with MirrorCam | Volvo FH with I-Save |
| 2021 | MAN TGX |
Una maana wanaonunua Yutong hawana akili? Wewe unaongea kishabiki ila ukiona waliopo kwenye field wanashift toka Scania Marcopolo na aina nyingine kwenda kwa mchina ujue inawalipa. Biashara ni tofauti sana na mawazo ya watu wa kawaida. Kwenye biashara kuna calculation kubwa sana za risks na ukiona majority wanahama ujue wamesha calculateHata kariakoo unaweza kununuwa mokasini ya Mchina kwa sh 20,000/= ukatumia wiki mbili.
Lakini mwingine akanunuwa mokasini Italian shoes kwa 150,000/= akatumia miaka 10.
Ni swala la choice tu na matumizi ya akili.
Uko sawa mkuu . Milioni 900 ni parefu comper na milioni 250 .Una maana wanaonunua Yutong hawana akili? Wewe unaongea kishabiki ila ukiona waliopo kwenye field wanashift toka Scania Marcopolo na aina nyingine kwenda kwa mchina ujue inawalipa. Biashara ni tofauti sana na mawazo ya watu wa kawaida. Kwenye biashara kuna calculation kubwa sana za risks na ukiona majority wanahama ujue wamesha calculate
Hao jamaa wa Sauli sidhani kama wamefunga speed limit...basi zinakimbia balaa. Kuna siku nilikuwa na Hilux, kitonga jamaa alikula sahani moja na mimi, hao madereva wa Sauli ni hatari sana.Kwakweli mkuu hizi gari za sauli ziko vizuri tuachane na hayo mtu anasema tochi sijui nini,we kutana na sauli mercedez ama scania inapanda mlima kitonga hafu kutana ni TONG utaone TONG anavyolalamika
Super feo anashift toka yutong na kwenda kununua marcopolo G7, unalizungumziaje hili mkuu?Una maana wanaonunua Yutong hawana akili? Wewe unaongea kishabiki ila ukiona waliopo kwenye field wanashift toka Scania Marcopolo na aina nyingine kwenda kwa mchina ujue inawalipa. Biashara ni tofauti sana na mawazo ya watu wa kawaida. Kwenye biashara kuna calculation kubwa sana za risks na ukiona majority wanahama ujue wamesha calculate
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.
Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku
Sent