t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
HewaaaTatizo bei..
Pikipiki mfano ya haojue cc150 ama 125 uuziwe milioni 6/5 inakuwaje hapo, je bodaboda tungepanda nauli kwa shilingi ngapi!?
Ndio nilichomuelewa mwamba hapo juu.
hapo ndio mchina ametukamata, makaveli10 , Sanlg ni milioni mbili tu ,lakini gharama za uendeshaji wake na usumbufu wa matengenezo , hesabu rahisi ni bora kununua pikipiki ya ghali , angalia honda 110 na 90 zile ziltumika sana na mabwana shamba ziliivyokua na maisha marefu .