Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Tatizo bei..

Pikipiki mfano ya haojue cc150 ama 125 uuziwe milioni 6/5 inakuwaje hapo, je bodaboda tungepanda nauli kwa shilingi ngapi!?

Ndio nilichomuelewa mwamba hapo juu.
Hewaaa
hapo ndio mchina ametukamata, makaveli10 , Sanlg ni milioni mbili tu ,lakini gharama za uendeshaji wake na usumbufu wa matengenezo , hesabu rahisi ni bora kununua pikipiki ya ghali , angalia honda 110 na 90 zile ziltumika sana na mabwana shamba ziliivyokua na maisha marefu .
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.

Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku

Sent
Mkuu Kuna hii kampuni mpya ya mabasi yanakwenda Mwanza inaitwa Hunters luxury kwa aina ile ya mabasi na idadi yake ataweza kudumu ktk game? Au ni Bora angenunua tuu fleet za kichina
 
Huu uzi una wataalam wa Engine na gear box bora za malori na magwiji wa utengenezaji .
Nadhan hatujaamua tuu

Tunaweza kuunga moja ya malori bora sana duniani na tukapiga hela ya kutosha
 
Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida
Mkuu umesema ukweli .Ungekuwa Arusha ningekupeleka Picnic Bar nikakupe Kirikuu baridi .Nimepitia karibu comment zote wanakandia sana haya Magari ya Kichina.Bus Scania milioni 900 basi Moja tu .na za Kichina basi moja milioni 250 si Bora ununue za Kichina bus 4 ufanye Biashara ambazo zitakuingizie faida nyingi kuliko kutumia hela nyingi kununua basi Moja tuu huoni mzunguko wa hela utakuwa mgumu ?
 
Kuna route huwezi kupeleka hizo Youtong, mfano Dar Songea.

Abood anazo Youtong lakini mpaka kesho ni lazima anunuwe na Scania kwa special mission.

Route za Dar Moro hata bajaj unaweza kutumia.
 
Hii ndio tabia yetu waafrika,ushabiki mbele hatunaga ku-balance hoja!
Ku' balance hoja' , ni neno la kisiasa tunalitumia waafrika tunapotaka ku compromise facts .
Hoja yako ingekuwa na mashiko sana kama tungekuwa tunajadili siasa , na si vitu technical kama hivi ,

Let the facts stands on its own, hoja zijibiwe kwa hoja , no sympathy or nothing else .
Kwenye hii mada nimekuwa shabiki wa scania , si kwa bahati mbaya au upenzi , bali natumia katika shughuli zangu za kusaka rizki, na nina testimony kadhaa za ku support ushabiki wangu, hasa excellence ya scania kwenye njia ngumu ngumu na service life kwenye mazingira hayo ,nilipenda aje mtu anayetumia benz , Volvo , howo, etc aje ili naye atoe ushuhuda wa brand zake zinavyo perform, njia anazokwenda, na service life anayopata .
 
Mbona kwenye huu Uzi hamjazungumzia kabisa Howo au Shacman trucks .Nazionaga zinapita hapa Ngarenaro zimebeba cement ya Dangote na zina mitungi ya gas mbada ya diesel.Howo truck haiwezi kukutoa?
Hizo ulizoziona ni Howo na sio shacman trucks , Dangote , hajawahi kuwa na Shacman ,Dangote kwa sasa ana trucks nyingi zinazotumia Cng gas kwenye hauling industry, Blue coast naye nimemuona anatumia original scania next gen Cng.

Howo na Shacman ni gari mpya za kichina , na hazina maisha marefu kwemye service life , huwa zinafanya vizuri zikiwa mpya
 
Mkuu umesema ukweli .Ungekuwa Arusha ningekupeleka Picnic Bar nikakupe Kirikuu baridi .Nimepitia karibu comment zote wanakandia sana haya Magari ya Kichina.Bus Scania milioni 900 basi Moja tu .na za Kichina basi moja milioni 250 si Bora ununue za Kichina bus 4 ufanye Biashara ambazo zitakuingizie faida nyingi kuliko kutumia hela nyingi kununua basi Moja tuu huoni mzunguko wa hela utakuwa mgumu ?
Ipo hivi
Basi za kichina ni cheap , ila with strings attached,
Longetivity kwenye transport bizz ndo kila kitu , ukishakua na chombo kitakacho hudumu kwa muda mrefu , uwezekano wa kupata faida ni mkubwa
Kuna marcopolo number AAG, ipo hadi leo hii , mie nilipanda hii basi miaka karibu 20 iliyopita wakati huo zikiwa ni Scandinavia, route ya Nairobi Dar ,
 
Kuna route huwezi kupeleka hizo Youtong, mfano Dar Songea.

Abood anazo Youtong lakini mpaka kesho ni lazima anunuwe na Scania kwa special mission.

Route za Dar Moro hata bajaj unaweza kutumia.
Hiyo route ya Dar Songea mbabe wao ni New Force ambae ni mchina 100%
 
Kama wanakula hasara mbona wanaendelea kuziagiza? Si tungeona wananunua scania zinazowapa faida..

Mkuu nilishakwambia gari ni matunzo tu kuanzia maintainance mpaka driver.
Kama gari haitunzwi haiwezi kudumu!

Madhaifu hata scania wanayo sema kutokana na spare kuzagaa, ni rahisi kufix tatizo na watu kuona ni jambo la kawaida.

Halafu, Kwenye tuzo za international truck of the year (ITOY) benz wamechukua nyingi kuliko scania, je hao wapiga kura hawayajui madhaifu ya benz au benz wanabebwa?

YearWinnerThird place
2018DAF New XF/CFScania XT range
2019Ford F-MaxVolvo FH & Volvo FM LNG
2020Mercedes-Benz Actros with MirrorCamVolvo FH with I-Save
2021MAN TGX
 
Hata kariakoo unaweza kununuwa mokasini ya Mchina kwa sh 20,000/= ukatumia wiki mbili.

Lakini mwingine akanunuwa mokasini Italian shoes kwa 150,000/= akatumia miaka 10.

Ni swala la choice tu na matumizi ya akili.
Una maana wanaonunua Yutong hawana akili? Wewe unaongea kishabiki ila ukiona waliopo kwenye field wanashift toka Scania Marcopolo na aina nyingine kwenda kwa mchina ujue inawalipa. Biashara ni tofauti sana na mawazo ya watu wa kawaida. Kwenye biashara kuna calculation kubwa sana za risks na ukiona majority wanahama ujue wamesha calculate
 
Uko sawa mkuu . Milioni 900 ni parefu comper na milioni 250 .
 
Kwakweli mkuu hizi gari za sauli ziko vizuri tuachane na hayo mtu anasema tochi sijui nini,we kutana na sauli mercedez ama scania inapanda mlima kitonga hafu kutana ni TONG utaone TONG anavyolalamika
Hao jamaa wa Sauli sidhani kama wamefunga speed limit...basi zinakimbia balaa. Kuna siku nilikuwa na Hilux, kitonga jamaa alikula sahani moja na mimi, hao madereva wa Sauli ni hatari sana.
 
Hamna sehemu nimesema wanaonunuwa Youtong hawana akili, nioneshe wapi nimesema hivyo, usinilishe maneno.

But/ lakini utaonekana ni kichaa mbele za watu wanaojuwa hizi product kufananisha Youtong na Mercedes benz au Scania.

Unachoita wewe calculation hizo ni performance za marketing and sales managers wa hao wachina kuweza kuconvice new clients.

Nenda kaulize Scania na CFO motors sales zao zimeshuka kwa ujio wa Youtong?

Ikifika FIFA world cup utasikia official buses za tournament wanapewa Mercedes benz.
 
Una maana wanaonunua Yutong hawana akili? Wewe unaongea kishabiki ila ukiona waliopo kwenye field wanashift toka Scania Marcopolo na aina nyingine kwenda kwa mchina ujue inawalipa. Biashara ni tofauti sana na mawazo ya watu wa kawaida. Kwenye biashara kuna calculation kubwa sana za risks na ukiona majority wanahama ujue wamesha calculate
Super feo anashift toka yutong na kwenda kununua marcopolo G7, unalizungumziaje hili mkuu?
20211101111536.jpeg
 
Nilicho kiona Kwa wachangiaji wengi 80% hawajui kabisa wanachokiongea pia hawapo updated na hii industry ya magari au ni wanaendeshwa na mahaba juu ya wanachokipenda
 
Mkuu L 360 Dongfeng Cummins ni euro 2 na f95 -310 HB ni euro 3

Kwa bongo hamna Buses zenye Carbon Emissions euro 5.

Back
Top Bottom