Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Isanga !
Unafatilia mambo lakini haupo makini, zikiwa mpya brand new scania Ni the most expensive European truck, zikianza kuchoka Mercedes benz huwa ni ghali kwenye second hand markets unajua kwa nn? Scania huwa zinatunza thamani yake Sana , hivyo watu hawaziuzi mapema , unapokuja kuoina scani a kwenye second hand market huwa ni cheap kulinganisha na benz sababu scania inakuwa imetumika Sana kulinganisha na benz

Sent
Mkuu kuhusu benz wacha nisiwe makini ila sio kweli kwamba Scania ipo bei juu zaidi ya Benz zikiwa mpya, Scania hapa kwetu ni gari ambayo vipuli vyake vipo vingi na haiwezi kulala porini Man diesel na Benz ndio zenye uwezo wa kupanda mlima na tano huku ikiwa imebeba mzigo Scania hicho kitu hakipo Mimi ni mgonjwa wa Scania ila siwezi kuongea uongo kwa kitu nachokiona na kila siku tupo road...
 
Mkuu kuhusu benz wacha nisiwe makini ila sio kweli kwamba Scania ipo bei juu zaidi ya Benz zikiwa mpya,Scania hapa kwetu ni gari ambayo vipuli vyake vipo vingi na haiwezi kulala porini Man diesel na Benz ndio zenye uwezo wa kupanda mlima na tano huku ikiwa imebeba mzigo Scania hicho kitu hakipo Mimi ni mgonjwa wa Scania ila siwezi kuongea uongo kwa kitu nachokiona na kila siku tupo road...
Isanga
Ni scania ipi unaongelewa na unailinganisha na benz ipi? Unafahamu most powerful truck duniani ni Volvo fm750 ikifuatiwa na scania s730, both at 3500nm plus of torque?

Hapa kwetu walijaribu Mercedes Benz Kama basi hawana hamu nazo, alianza Dar express, hazikudumu na zilikuwa very slow unakumbuka? Hiyo ya Sauli nayo Wala haikukaa ikasumbua engine. Kuna tetesi pia imewekwa scania engine.

Benz ni status tu, Kama ilivo kumiliki I phone, real workhorse ni swedish,

Sent
 
Isanga
Ni scania ipi unaongelewa na unailinganisha na benz ipi? Unafahamu most powerful truck duniani ni Volvo fm750 ikifuatiwa na scania s730, both at 3500nm plus of torque?

Hapa kwetu walijaribu Mercedes Benz Kama basi hawana hamu nazo, alianza Dar express, hazikudumu na zilikuwa very slow unakumbuka? Hiyo ya Sauli nayo Wala haikukaa ikasumbua engine. Kuna tetesi pia imewekwa scania engine...
Volvo ana gari yenye nguvu na ndio zinatumika kwnye kuvuta mizigo mikubwa halina ubishi unatolea mfano wa sauli basi mbili wakati trunslux,intercape na Greyhound makampuni makubwa yanasafirisha abiria Zimbabwe,Nambia,Msumbiji na Botswana kutoa SA karibu mengi ni Mercedes.

Man na Volvo kidogo hawa Intercape za Malawi wapo na Scania na pia unapozungumzia gari inayovuta mzigo mkubwa hizo hatuzitumii tunazozitumia ni hizi hizi Mkuu, wasafirishaji wengi wa masafa marefu wengi wanatamani kuwa na Mercedes na wanaona wamefika peak ya mafanikio kwa kuea na gari zisizo sumbufu Safari ipo wakati wowote...
 
Umeongea kishabiki na sio kibiashara. Kibiashara Scania hailipi kama Yutong maana yana bei kubwa sana mara mbili ya Yutong. Ndio maana unaona kampuni nyingi zili-opt kwenda kwa mchina ili ziingize pesa Zaidi. Ukiangalia kishabiki shabiki utaona Scania ni bora ila kama wewe ni mfanyabiashara mchina ana faida
 
Mkuu wewe ndo hauko updated , gari ya mchina siyo nafuu kiivo na haikupi maisha marefu Kama scania, watu wanakula hasara za kutosha na youtong, na wengi wana default kwenye mikopo ya gari hizo, soon trend utakuja kurudi kwenye brand zinazotoa uhakika wa financial returns

Sent
 
Mkuu kuhusu benz wacha nisiwe makini ila sio kweli kwamba Scania ipo bei juu zaidi ya Benz zikiwa mpya,Scania hapa kwetu ni gari ambayo vipuli vyake vipo vingi na haiwezi kulala porini Man diesel na Benz ndio zenye uwezo wa kupanda mlima na tano huku ikiwa imebeba mzigo Scania hicho kitu hakipo Mimi ni mgonjwa wa Scania ila siwezi kuongea uongo kwa kitu nachokiona na kila siku tupo road...
Kwanini MAN DIESEL sio brand maarufu East Africa??
 
Kwakweli mkuu hizi gari za sauli ziko vizuri tuachane na hayo mtu anasema tochi sijui nini,we kutana na sauli mercedez ama scania inapanda mlima kitonga hafu kutana ni TONG utaone TONG anavyolalamika
Kabisa mkuu Uko sahihi.

Nimepanda Sauli majuzi hapa. Scania, ilikuwa ya kwanza kuingia Mbeya kutoka Dar.

Gari nzuri Sana zile. Na ameikamata kisawasawa njia ya Mbeya-Dar
 
Kwanini MAN DIESEL sio brand maarufu East Africa??
Mkuu sasa hivi wapo watu wanazo unajua ishu ya gari ukanda huu watu wanaulizana kwanza vipuri kama sio vya kuagiza ndio wananunua hiyo Man ndio engine diesel iliyofanyiwa majaribio inaweza kwenda umbali mrefu mkawa mnabadili madereva tuu yenyewe hata isizime na itaenda KM za kutosha, test yake ilikua America ya kusini mpaka kaskazini hizi Benz, Scania, Volvo zote zilichemka yenyewe ilifika na mzigo MAN DIESEL...

Sasa kwenye matumizi ya magari ni taarifa ndio power ni kama Zimbabwe watu wa pale wananunua sana International hizi brand zingine zipo ila kwa kiwango kidogo na kweli International mpaka isumbue sio leo ila ukiwauliza wazee wa 113 watakuambia hakuna kitu...
 
Mkuu sasa hivi wapo watu wanazo unajua ishu ya gari ukanda huu watu wanaulizana kwanza vipuri kama sio vya kuagiza ndio wananunua hiyo Man ndio engine diesel iliyofanyiwa majaribio inaweza kwenda umbali mrefu mkawa mnabadili madereva tuu yenyewe hata isizime na itaenda KM za kutosha,test yake ilikua America ya kusini mpaka kaskazini hizi Benz,Scania,Volvo zote zilichemka yenyewe ilifika na mzigo MAN DIESEL...Sasa kwenye matumizi ya magari ni taarifa ndio power ni kama Zimbabwe watu wa pale wananunua sana International hizi brand zingine zipo ila kwa kiwango kidogo na kweli International mpaka isumbue sio leo ila ukiwauliza wazee wa 113 watakuambia hakuna kitu...
Halafu sisi tumezoea vya bei rahisi unakuta mtu anakuambia man sio gari nzuri sijui haidumu sasa wewe huipatii huduma nzuri spea zenyewe unaenda kuokota ambazo zilisha tumika wewe ndio unafunga kwenye gari wewe unategemea nn
 
Isanga
Ni scania ipi unaongelewa na unailinganisha na benz ipi? Unafahamu most powerful truck duniani ni Volvo fm750 ikifuatiwa na scania s730, both at 3500nm plus of torque?

Hapa kwetu walijaribu Mercedes Benz Kama basi hawana hamu nazo, alianza Dar express, hazikudumu na zilikuwa very slow unakumbuka? Hiyo ya Sauli nayo Wala haikukaa ikasumbua engine. Kuna tetesi pia imewekwa scania engine...
Wewe acha hizo mambo je unajua benz ziko za aina nyingi ujue kuna za safari ndefu na safari fupi sasa wewe nenda kanunue benz atego usipokuja hapa kulalamika kwamba benz haidumu.katika gari jiwe hamna kama benz na katika gari legelege hamna kama volvo
 
Mkuu sasa hivi wapo watu wanazo unajua ishu ya gari ukanda huu watu wanaulizana kwanza vipuri kama sio vya kuagiza ndio wananunua hiyo Man ndio engine diesel iliyofanyiwa majaribio inaweza kwenda umbali mrefu mkawa mnabadili madereva tuu yenyewe hata isizime na itaenda KM za kutosha,test yake ilikua America ya kusini mpaka kaskazini hizi Benz,Scania,Volvo zote zilichemka yenyewe ilifika na mzigo MAN DIESEL...Sasa kwenye matumizi ya magari ni taarifa ndio power ni kama Zimbabwe watu wa pale wananunua sana International hizi brand zingine zipo ila kwa kiwango kidogo na kweli International mpaka isumbue sio leo ila ukiwauliza wazee wa 113 watakuambia hakuna kitu...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wazee wa 113 huwa wanaamini wanagari ya maana sana dunia nzima hakuna!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Unataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi
Hakuna cha speedometer wala nini, that was a project na imeshaisha!!
 
Halafu sisi tumezoea vya bei rahisi unakuta mtu anakuambia man sio gari nzuri sijui haidumu sasa wewe huipatii huduma nzuri spea zenyewe unaenda kuokota ambazo zilisha tumika wewe ndio unafunga kwenye gari wewe unategemea nn
Upo sahihi na pia inataka mafuta sio yatumike mpaka yaishe yote kwenye tank na swala spea sio za kuokota okota...ina engine ngumu hiyo mashine mpaka wajukuu kuna jamaa mmoja Mwanza ni mgonjwa wa Scania akakosea akapata Man moja hivi huu mwaka wa tatu ajagusa kitu wakati Scania zote kabadilisha Engine na nilitumia muda kumshawishi chukua gari hiyo jamaa aliuza bei ndogo wa daslm yeye akapata taarifa ila aliamini maneno ya wapiga mbiu na aliponunua walimshangaa saa hizi wao tena ndio wanamuuliza awape Siri ya Man Diesel..
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wazee wa 113 huwa wanaamini wanagari ya maana sana dunia nzima hakuna!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Umenichekesha sana ujue nina jamaa angu nilikua namwambia badili hiyo 113 akawa ananicheka tuu siku akapata kazi ya kwenda kubeba trekta Pretoria alivyorudi tuu akaamua kuuza akaongeza kidogo yupo na P series Scania nazo zina ugumu maana ilibidi nimzungushe kwenye truck ili kumbadili ugonjwa tulioachiwa na wajomba wa kuhusu 113...
 
ERF zimepotelea wapi?
Nyingi mlikuwa mnaziona za DHANDHO! Alivyohama ndiyo hamzioni.. hata hivyo zipo moja moja zinapiga mzigo fresh kabisa.

Hapo Malawi kuna kampuni inaitwa NANGAUZOZGE, na nyingine TIYENKHYU wanazo model za 2000 nyingi tu.

Ni zile model zilizotengenezwa baada ya kampuni kununuliwa na MAN so hata cabin design inafanana na trucks za man.

Huwa zinakuja hapo bandarini kwenu dar, siku ukiziona ni imara kuliko R420 za 2006-9.
 
Kwani wee sio Mtanzania mwenzetu?
 
Back
Top Bottom