Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Nyingi mlikuwa mnaziona za DHANDHO! Alivyohama ndiyo hamzioni.. hata hivyo zipo moja moja zinapiga mzigo fresh kabisa.

Hapo Malawi kuna kampuni inaitwa NANGAUZOZGE, na nyingine TIYENKHYU wanazo model za 2000 nyingi tu.

Ni zile model zilizotengenezwa baada ya kampuni kununuliwa na MAN so hata cabin design inafanana na trucks za man.

Huwa zinakuja hapo bandarini kwenu dar, siku ukiziona ni imara kuliko R420 za 2006-9.
Hizi ERF zilinichanganya wewe ndio umefafanua vizuri sikutaka kufatilia maana zilikua mbovu sana zile za nyuma ila nikashangaa zipo zingine jiwe hatari hata Mkongo mmoja anazo za kumwaga anapakia mzigo msumbiji muda wote zipo road na wala sizioni kuharibika hovyo...
 
Isanga
Ni scania ipi unaongelewa na unailinganisha na benz ipi? Unafahamu most powerful truck duniani ni Volvo fm750 ikifuatiwa na scania s730, both at 3500nm plus of torque?

Hapa kwetu walijaribu Mercedes Benz Kama basi hawana hamu nazo, alianza Dar express, hazikudumu na zilikuwa very slow unakumbuka? Hiyo ya Sauli nayo Wala haikukaa ikasumbua engine. Kuna tetesi pia imewekwa scania engine.

Benz ni status tu, Kama ilivo kumiliki I phone, real workhorse ni swedish,

Sent
Benzi ya saulo ina wiki zaidi ya 3 huu mwezi wote huu haionekani barabarani
 
Upo sahihi na pia inataka mafuta sio yatumike mpaka yaishe yote kwenye tank na swala spea sio za kuokota okota...ina engine ngumu hiyo mashine mpaka wajukuu kuna jamaa mmoja Mwanza ni mgonjwa wa Scania akakosea akapata Man moja hivi huu mwaka wa tatu ajagusa kitu wakati Scania zote kabadilisha Engine na nilitumia muda kumshawishi chukua gari hiyo jamaa aliuza bei ndogo wa daslm yeye akapata taarifa ila aliamini maneno ya wapiga mbiu na aliponunua walimshangaa saa hizi wao tena ndio wanamuuliza awape Siri ya Man Diesel..
Unazungumzia man gani man diesel ni gari tatizo ni spea hapa bongo hakuna classic na taqwa washapaki gari kibao za man na engine washashusha nyingine Sikatai man ni gari nzuri ila haiwezi kuwa punda kama Nissan diesel zile kamwe man ni gari ya kiumeme umeme na zimetolewa kama mbadala wa Nissan diesel ila haiwezi kuwa kama nissan diesel hasa CB46
 
Labda niwaambie tuu SCANIA MAN DAF BENZ VOLVO zote ni gari nzuri tuu ila inategemea na eneo husika spea zinapatikana vipi

Kenya benz zipo nyingi kuliko scania rwanda na burundi pia wanatumia zaidi benzi kwa maana hiyo kumiliki benzi kenya rwanda au burundi ni rahisi kuliko kumiliki benzi tanzania angalia scania tz ni nyingi kuliko vingine kweli benzi ni gari nzuri ila vipuli ni nadra
Kwa upande wa mabasi sauli anayo benzi linapiga kazi vizuri tuu ila likizingua linaweza paki hata wiki 3 kama saiv limepaki zinapiga kazi scania tuu!

Classic coach route za lubumbashi aliacha tumia Nissan diesel akaanza tumia Man diesel ila kwa kipindi kifupi tayari zimeshamsulubu vya kutosha nyingi ziko juu ya nawe ni gari nzuri zina nguvu lakini ni mayai.

Nakumbuka kuna siku sauli DPN ilikuwa Inaenda mbeya kuna sehemu ilifika kule mbeya ikiwa inakaribia mjini ilichepuka njia ya vumbi ikapasua oil sump ila kwesho yake asubuhi gari ilikuwa barabarani ikipiga mzigo kama kawa hii ina maana ukiwa na scania ni very simple to maintain kuliko benzi volvo na man.

Pili MSILINGANISHE HIZI MAN DIESEL NA NISSAN DIESEL (PUNDA)
 
Wewe acha hizo mambo je unajua benz ziko za aina nyingi ujue kuna za safari ndefu na safari fupi sasa wewe nenda kanunue benz atego usipokuja hapa kulalamika kwamba benz haidumu.katika gari jiwe hamna kama benz na katika gari legelege hamna kama volvo
Nitajie Mercedes yoyote unayoijua yenye torque Zaid ya 3000nm
We use torque to haul , Kama huna lolote unalolijua kuhusu torque then you are not serious haulier .
Mercedes zilivuma na jina tu na watu mnakariri , ni Kama vile, I phone

FYI swedes wamekuwa smart toka miaka hiyo , mwaka 1969 scania walikua wa kwanza europe kuwa na lory ya 350horse power,mwaka 1993 wakawa wa kwanza Tena ku break 500hp barier (scania 143), na miaka ya 2000 wakawa wa kwanza Tena kuwa na 730 hp barabarani kabla ya Volvo ku top up na Fm 750,@3550nm torque
Mercedes actros 2019 ile kubwa kabisa 625hp Ina torque ya 3000nm

Sent
 
Halafu sisi tumezoea vya bei rahisi unakuta mtu anakuambia man sio gari nzuri sijui haidumu sasa wewe huipatii huduma nzuri spea zenyewe unaenda kuokota ambazo zilisha tumika wewe ndio unafunga kwenye gari wewe unategemea nn
To prosper anything you must first put on its shoes , njoo kwenye hauling industry uone watu wanavyofilisika kwenye brand za Man truck, ingia truck net forum ya uk uone ni kwa nini hizo man huwa zinauzwa second hand na kuja Africa zikiwa bado mpya kabisa , 3000uk pound, kununua man 440 exhaust muffle unaweza?

Water cooled intercooler amabayo ikitoboka engine inajinywesha maji,

The only thing man is good for ni nguvu na mwendo
Kwa waliomiliki man na zilichowafanya wakipita hapa watakushangaa unavyozisifia .

Sent
 
Hakuna cha speedometer wala nini, that was a project na imeshaisha!!
Usidanganye Latra wapo makini sana na hip haliwezi kufa kirahisi, Kuna madereva wamefutiwa leseni na mabasi kufutiwa usajili kwa ku temper na hivyo vidude ,japo Kuna wakati fulani madereva huwa Wana corupt na wafanyakazi kadhaa wa Latra.

Sent
 
Upo sahihi na pia inataka mafuta sio yatumike mpaka yaishe yote kwenye tank na swala spea sio za kuokota okota...ina engine ngumu hiyo mashine mpaka wajukuu kuna jamaa mmoja Mwanza ni mgonjwa wa Scania akakosea akapata Man moja hivi huu mwaka wa tatu ajagusa kitu wakati Scania zote kabadilisha Engine na nilitumia muda kumshawishi chukua gari hiyo jamaa aliuza bei ndogo wa daslm yeye akapata taarifa ila aliamini maneno ya wapiga mbiu na aliponunua walimshangaa saa hizi wao tena ndio wanamuuliza awape Siri ya Man Diesel..
Man iwe bora kuliko scania , ? Unaongelea man ipi na scania ipi ?

Sent
 
Kenya kuna basi za Volkswagen na kuna kampuni moja Tanzania kama sikosei Friends au Falcon wanayo Volkswagen.

Hizo basi Volkswagen nazo zinakimbia sana Scania na Benz wanaweza wakasumbuliwa vizuri.
 
Unazungumzia man gani man diesel ni gari tatizo ni spea hapa bongo hakuna classic na taqwa washapaki gari kibao za man na engine washashusha nyingine Sikatai man ni gari nzuri ila haiwezi kuwa punda kama Nissan diesel zile kamwe man ni gari ya kiumeme umeme na zimetolewa kama mbadala wa Nissan diesel ila haiwezi kuwa kama nissan diesel hasa CB46

Man Diesel ni gari ya kibabe sana tatizo haitaki maisha ya unga unga mwana. Hizo Classic zikiwa njiani si Sauli wala Golden Deer anayemfata.

Man Diesel inataka spea orijino, mwaka juzi moja ilikwama Kongo kisa spea. Hizi hazitaki maisha ya kwenda Tabata kwenye used lazima uende kwa dealer pale Mobikey ukapate spea orijino.
 
Usidanganye Latra wapo makini sana na hip haliwezi kufa kirahisi, Kuna madereva wamefutiwa leseni na mabasi kufutiwa usajili kwa ku temper na hivyo vidude ,japo Kuna wakati fulani madereva huwa Wana corupt na wafanyakazi kadhaa wa Latra.

Sent
Huwa sipendi kubishana na mtu huwa napendelea facts. Niko na facts wala sijaropoka, ulitaka Latra wakubali au mkubali kuwa hii kitu haipo tena? Nambie leo ni basi gani linatumia hio kitu? Hio corruption unayozungumzia ndio na mimi naizungumzia kuwa hii ilikua ni corrupt project ya watu. Uzuri huw anatumia speedometer kila nikisafiri kwa basi na niko na evidence, thi shsit doesnt exist tena.

Leo hii basi la kutoka Mbeya linafika Dar saa mbili usiku, la Mwanza saa tano hadio sita....niko na screeshots kibao mtu anatembea hadi 140km/hr usiku.
 
To prosper anything you must first put on its shoes , njoo kwenye hauling industry uone watu wanavyofilisika kwenye brand za Man truck, ingia truck net forum ya uk uone ni kwa nini hizo man huwa zinauzwa second hand na kuja Africa zikiwa bado mpya kabisa , 3000uk pound, kununua man 440 exhaust muffle unaweza ?

Water cooled intercooler amabayo ikitoboka engine inajinywesha maji,

The only thing man is good for ni nguvu na mwendo
Kwa waliomiliki man na zilichowafanya wakipita hapa watakushangaa unavyozisifia .

Sent
Mkuu vipi kuhusu Volkswagen Constellation maana huko Brazil na America kusini zimesifika miaka ya karibuni kubeba mizigo mizito kwenye milima mikali na sehemu korofi.

Huku Afrika Mashariki sijaziona hizo Lori nimeona busi zao Volkswagen.
 
Nazungumzia hizi tunazonunua na kuzitumia kila siku zilizopo Africa...kama Scania 124 R420 na series ya P zake kwa Man TGA 27.400 man tgs 18.330, Man TGA 35.400, Man TGS 26.480 au man TGS 26.480, man 27.440 ya 2015 au man TGA 26.410 hizi zote gari na hata Scania isiwe chini ya 2010 zote zicheze miaka inayokaribiana....man inapanda mlima na tano mzee
 
walifeli hao SA waliingia 2014 sasa hivi hizo truck zinafanya kazi za local tuu sio nje ya SA utaikataa...
 
Shida ya huyu mwamba itakua amekariri kuhusu scania yeye kitu kingine hajui mimi nimetumia scania 113 mpaka hizi r420 g460 nimetumia benz kuanzia power liner mpaka hizi actros benz ni best truck hivyo
Nazungumzia hizi tunazonunua na kuzitumia kila siku zilizopo Africa...kama Scania 124 R420 na series ya P zake kwa Man TGA 27.400 man tgs 18.330, Man TGA 35.400, Man TGS 26.480 au man TGS 26.480, man 27.440 ya 2015 au man TGA 26.410 hizi zote gari na hata Scania isiwe chini ya 2010 zote zicheze miaka inayokaribiana....man inapanda mlima na tano mzee
 
Scania zinaanza kurudi kwa kasi sana.. ila naona
Hapana mkuu ila kuna Kyela Express, Majinjah Special na Rungwe Express alikuwepo na Mchina ila kwa sasa kachukua utulivu kwanza.
alafu rungwe ni make hiyo hiyo ya scania za sauli..
Mwaka jana nilienda mbeya na rungwe hizi basi ilikua kila polisi anaisimamisha..milimani huko kina new force hufunza adabu kumbe. Yaani basi mlimani inaipita hata ist vizuri tu..
 
Back
Top Bottom