Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hizi ERF zilinichanganya wewe ndio umefafanua vizuri sikutaka kufatilia maana zilikua mbovu sana zile za nyuma ila nikashangaa zipo zingine jiwe hatari hata Mkongo mmoja anazo za kumwaga anapakia mzigo msumbiji muda wote zipo road na wala sizioni kuharibika hovyo...Nyingi mlikuwa mnaziona za DHANDHO! Alivyohama ndiyo hamzioni.. hata hivyo zipo moja moja zinapiga mzigo fresh kabisa.
Hapo Malawi kuna kampuni inaitwa NANGAUZOZGE, na nyingine TIYENKHYU wanazo model za 2000 nyingi tu.
Ni zile model zilizotengenezwa baada ya kampuni kununuliwa na MAN so hata cabin design inafanana na trucks za man.
Huwa zinakuja hapo bandarini kwenu dar, siku ukiziona ni imara kuliko R420 za 2006-9.