Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

LATRA ilitoa utaratibu kwa mabasi kuomba ruhusa kuanza safari saa 9 alfajiri badala ya 11 asubuhi kama ilivyokuwa awali, hivyo hawa wamefungiwa kutokana na sababu kadha ikiwemo kutemper na mifumo ya kudhibiti mwendo
Adhabu laini sana madereva wanawacheka tu..
 
Hizi tunapanda vijana sasa wazee kama wew mwende mpande ma isamilo na frester
 
Hao frester na happy nation ni sawa na championship. Ally's na Katarama ndio EPL yaani ligi ya wakubwa na ukizingatia Katarama ndio kapanda daraja lakini anasumbua.
Ila Katarama awe makini na wanazi kushindana na kampuni yenye vyuma zaidi 30 afu wewe una gari tatu ishu ,,,isije yakatokea ya Sauli.
 
Mzee scania ipe heshima yake tupa geuka kila siku sio jambo la kubeza cha muhimu awe makini yasimkute ya Sauli.
 
Happy Nation mwendo wa kobe?!!! Mkuu ushawahi iona hata happy Nation kweli? Hii Happy Nation ni onatembea balaa tena hii wiki nzima alikuwa anawwpita Ally's na Katarama gepu kubwa tuu sijui kaponaje
ni maelekezo tu .
boss akisema kaa mbele ni mbele tu
 
Nimekuelewa sana ila nao unajua wanampa kichwa dereva na matokeo huwa mabaya

Mimi ni dereva wa miaka 50 sasa naelewa na miaka yote nimepata ajali mara 2 tu tena minor

Najua madhara ya speed na wewe unajua
Na ndio maana wamepigwa stop kuanza saa 12

Amani
 

Hapo umeongea ukweli mkuu..hata yaende pole pole vp lazima lakwanza liwepo
 
DxS zimekuja tungis kashajifia kulikua DRG lapetrol na kina DSE kina jeshi ndo walimuua tungis ndo wakaja kina DVA wakakimbizana na dar lux mpaka kampuni ikafa ndo zikaja DXS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…