mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
DXE linatoka saa10 jioni na Zile E series zinatoka saa2 usiku kwa Mwanza na Dar mbili mbili ia Speshooda yenyewe inatoka saa10 jion inategemea inanzia wapi either Dar au Mza maana zipo 5 tuWanatoka mwanza SAA 2 usiku na wanaingia DAR SAA 3-4.
Pia lipo linalotoka DAR 2 usiku na linaingia mwanza SAA 3-4 na wameanza Toka juzi na polo kichaa DXE linatoka SAA 1 usiku hili bus linaitwa kichaa kutokana na speed