HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemkumbuka "Profesa Singira" anafanya mazingaombwe hela inatokea wakati huo huo anaweka kiingilio. Kama alikuwa ana uwezo wa kutokeza hela kimazingara ni kwa nini aliweka kiingilio kwenye onesho lake?Kama vile Corona kuna kitu hakiko sawa
Yaani kwenda kuzibua mitaro hadi waende na basi!! Big No. Atakapokamatiwa azibue hapohapoHayo yattawabeba wazururaji!
Tukisema hali haiko kama tunavyoaminishwa tunakumbana na povu.
Sa
Au Karantini bubu inaendelea mpaka mwezi wa saba?
Hatua nzuri hiyo. Nakumbuka miaka ya 70 Waziri Mkuu Sokoine aliruhusu kitu kama hicho. Mabasi ya mashirika ya umma na ya serikali (SU na ST) yalikuwa yakimaliza kupeleka wafanyakazi wa taasisi husika yanafanya kazi ya daladala kwa masaa kadhaa. Huu ni utumiaji mzuri wa mali ya umma. Badala ya basi kukaa tu wizarani au kwenye shirika tangu saa mbili asubuhi linapoleta wafanyakazi wa hapo mpaka jioni wakati wa kuwarudisha, linasaidia kupunguza tatizo la usafiri jijini na wakati huohuo linatengeneza hela kidogo za kujiendeshea.
Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu

Nairobi ipi unaongelea wewe?
Kuna sehemu ya hovyo kama Nairobi kwa usafiri wa public
Be serious, Unafahamu mateso wanayopata wanafunzi Kenya hasa Nairobi kwenye usafiri
Achana na upoyoyo mkuu wa kuandika kila ujinga hapa JF
Shida yetu ni safari zisizo na mpangilio wala umahususi. Mtu anaweza akatoka nyumbani akapanda bus kwenda mahala kuzungukazunguka tu anakwambia ananyoosha migua ama anasafisha macho. Mwingine anatoka mbezi au kibaha kwenda kununua mchele au mkungu wa ndizi mabibo. Mwingine anatoka tegeta kwenda kununua mtumba karume. Au unakuta watu kumi wako kwenye daladala wote wanakwenda kumuona mgonjwa muhimbili au amana kha!!Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
Wamefanya nini?