Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
rejea takwimu zako sawa sawa.kama sensa ya mwaka jana 2019 inataja nairobi kuwa na watu 7mln,basi dsm itakuwa na watu si chini ya 11mln.kwa sensa ya sasa kama itafanyika.

dar ina watu wengi zaidi,na ndio sababu nairobi ndio inaongoza kwa foreni mbaya zaidi EA,sababu ya kutaka kukidhi mahitaji ya huduma za usafiri wa uma.dar nayo ikiiga hali itakuwa mbaya isielezeke.subiri hizo school bus ziingie road ndio utaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Possibles lazima kwanza ujiulize ni kwa nini watu 10 wanakwenda Muhimbili kwenda kumwangalia mgonjwa. Hao wasafisha macho na wanyoosha miguu wapo dunia nzima na ndiyo maana kila mwaka biashara kubwa sana duniani ni utalii!!
 
Hawa watawala wetu hawana mipangilio ya nyakati za emergency ni mambo gani au hatua gani za kufanya, hakuna blue print ni "shagala baghala"hadi wananchi tunapoanza kupiga kelele ndio utaona wanatoka usingizini.
Nina wasiwasi kama serikali yetu pendwa ina Intergrated Safety Management System. Labda ndio sababu mara wakishaapishwa utasikia kila mmoja anajitungia ya kwake.Kuna tatizo kubwa .
 
Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
Nairobi ina watu milioni 4
Dar ina watu milioni 6
, Google hapo ulipo upate takwimu ndio uje hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Divion sifuli huku mhusika akiwa hoi na divion one hukuhusika akiwa kabulini ipi bora?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
magari ya watu binafsi hawachelewi KUTEKA WATU.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu

Please ache kuandika uongo, Nairobi watu hukaa level seat na gari la kubeba abiria 25 kwa sasa linabeba watu 15 tuuuu! Pili Nairobi ina population ya watu kati ya million nne na tano wakati Dsm ni zaidi ya watu million sita!!! Tatu Nairobi hakuna watu kutoka nje ya nyumba yao kati ya saa moja usiku na saa 11 asubuhi!! Angalia Cititizen Tv, KBC, KTN News, TBC, ITV au soma magazeti! Period.
 
Hii level seat inawezekana waongeze nauli tu. Kutoka mia nne hadi miasita ili hesabu ya boss itimie lasivyo hapo ni solution ya muda mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana maanisha ile likizo ya mwezi mmoja itakuwaje IKIISHA wakati magari ya shule Yana beba abiria kwa MIEZI MITATU.?
Mingi au michache bwashee?!

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
Nairobi wana ruhusu Magari yaliyo nje ya Route kufanya kazi,
sisi Gari mpaka isajiliwe kwa route ndo inabeba abiria.
 
coaster mbona zipo Barabarani zinabeba abiria shida zinaishia manzese
 
Inatuhusu nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
Taifa la wajinga na mang'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Possibles lazima kwanza ujiulize ni kwa nini watu 10 wanakwenda Muhimbili kwenda kumwangalia mgonjwa. Hao wasafisha macho na wanyoosha miguu wapo dunia nzima na ndiyo maana kila mwaka biashara kubwa sana duniani ni utalii!!
Mkuu kuna tofauti kubwa ya mtalii na mtu asiye na sababu maalumu ya kusafiri. Na hao wapo wengi. Wanafanya wenye safari zenye tija kukosa usafiri.
Muhimbili ni mtu 1 tu ndio anaruhusiwa kuonana na mgonjwa kipindi hiki. Kwa hiyo inawezekana na imefanya ule umati tuliokuwa tunauona kutafuta mambo yenye tija ya kufanya.
 
Miezi mitatu ni mingi. Kwa hiyo shule zikifunguliwa, asubuhi yanabeba wanafunzi, baadae wanaenda kubeba abiria wengine pamoja na virusi walivyokua nao then jioni wanakuja kuwabeba wanafunzi na kuwaachia virusi walivyokusanya mchana.
Mtoto akirudi home ana homework na virusi alivyopata kwenye school bus
 
Fursa ya kukusanya virusi mtaani na mabasi yenu kuwaletea wanafunzi mliowaficha nyumbani mwezi mzima wasiambukizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…