mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
rejea takwimu zako sawa sawa.kama sensa ya mwaka jana 2019 inataja nairobi kuwa na watu 7mln,basi dsm itakuwa na watu si chini ya 11mln.kwa sensa ya sasa kama itafanyika.Hatua nzuri Lakini uwa najiuliza sana swali nairobi na dar upi mji una popolation kubwa ninapokuwa nairobi sijawahi kuona mtu anasimama kwenye matatu wakati nairobi ina wakazi milion 7 je shida yetu ni uchache wa daladala au ubovu wa miundombinu
dar ina watu wengi zaidi,na ndio sababu nairobi ndio inaongoza kwa foreni mbaya zaidi EA,sababu ya kutaka kukidhi mahitaji ya huduma za usafiri wa uma.dar nayo ikiiga hali itakuwa mbaya isielezeke.subiri hizo school bus ziingie road ndio utaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app