Mabeberu kazi kwisha, Rais Magufuli ni kiboko yenu

Unamkumbuka.
Saddam?
Ghadadaf?
Mugabe je?
Sembuse huyu asojua kiswahili. Wala kingereza?
Soma vizuri kuhusu globalization wewe. Tanzania ni sawa na unnywele mmoja tu duniani? Waulize waliomdanganya kambarage
 
πŸƒ
 
... is he killing his own people?
πŸ‘Š πŸ˜…βœŒοΈπŸ’₯
 
chuki za jiwe kwa mabeberu zimesababishwa na kutojua kwake kingreza!
 
Mkuu tutajie!
Mabeberu ni nani na wako wapi?
 
Wewe nawe una file milembe
 
Niliwahi kusema kuwa inaonekana 'lucifer' sasa ameweka kambi yake Tz.
hata vijana wanaotegemewa kuwa wakweli kwa kusimamia ukweli hawana ufafamu au akili kabisa!
Vueni makoti ya upumbavu enyi vijana labda ufahamu utawarudia, au kuwa kijana wa 'lumumba' lazima uwe mjinga kiasi hiki!
 
... is he killing his own people?
πŸ‘Š πŸ˜…βœŒοΈπŸ’₯
If πŸ”πŸ”“πŸ”’πŸ”’πŸ”’πŸ”’ndioπŸ’―βœ”
Usichanganywe na heading soma ujumbe utanielewa vema
 
Wameshindwa hata ku regulate bei ya vifurushi toka kwa makampuni ya simu ya MABEBERU kisha taahra mmoja anakuja kuandika ujinga na Kujaza sever.
Usitukane hovyo kwamba mwandishi ni tahira kumbe wewe ndio kilaza kwa kushindwa kumwelewa mwandishi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unamkumbuka.
Saddam?
Ghadadaf?
Mugabe je?
Sembuse huyu asojua kiswahili. Wala kingereza?
Soma vizuri kuhusu globalization wewe. Tanzania ni sawa na unnywele mmoja tu duniani? Waulize waliomdanganya kambarage
Unamkumbuka.
Saddam?
Ghadadaf?
Mugabe je?
Sembuse huyu asojua kiswahili. Wala kingereza?
Soma vizuri kuhusu globalization wewe. Tanzania ni sawa na unnywele mmoja tu duniani? Waulize waliomdanganya kambarage
Kweli mkuu na ndio maana ninawalaumu Hawa wakubwa waliopewa jina la mabeberu na jiwe kwamba kwanini wanachelewa kumshikisha adabu huyu kichaa wetu?
 
Mtoa mada we fala kweli.................
 
Hapo kwenye uchumi mataga huwa mnachekesha, mnajiassess wenyewe na kujipa maksi 100% wenyewe kisha mnaanza kujissifia, ovyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…