Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujinga ni mzigo jamani!

Walioona mkataba wamesema unatunyonya!

Wewe kajamba nani ambae hujauona mkataba unakuja hapa kuwatetea wachina kwamba hautunyonyi na hao waliosema unatunyonya ni waongo!

Sasa unataka tujadili kitu gani hapa?

Weka mkataba hapa tuusome wenyewe ili tujadili, vinginevyo wewe pamoja na hao kina Kakoko ni watu wa hovyo,.
 
Mkuu je ni mkataba upi umewahi kuwekewa wazi ukaujadili? Songas? SGR? Manunuzi ya ndege? JNIA T3? NK. Jikite kwenye mada...
Sasa hapa tunajadili nini basi kama mkataba wenyewe hatuuoni?

Huoni kama ni ujinga kujadili mada ambayo imeegemea upande mmoja huku mleta mada akiwa kaweka hoja zake kwa hisia tu?
 
Mkuu Pascal Mayalla nashukuru kwa ushauri wako, ila tambua huu sio wakati wa kuvumilia watu wasio na nia njema kwa taifa letu.
 
MAPENDEKEZO

Reserved for later
Asante kwa maelezo, nitaikalia vizuri makala hii baadaye kidogo. Swali la kizushi, nini kilitokea mpaka ukachelewa kutoa maelezo haya kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2020 hapa nchini!?
 
To be honest mleta mada umeutendea haki uzi wako. Umechambua kwa kina na uwazi.

Lakini ni mashaka na mambo mawili tu.
1. Kwanini huo mkataba hamtaki kuuweka hadharani ?
2. Kwanini hizi sarakasi za mjadala wa bandari ya Bagamoyo zimeanza kuibuliwa kwa kasi mara tu baada ya Magufuli kufariki?
 
Ukishaona mtu anaandika assumptions kama hizi kwa maandishi mengi sana ujue ni kum. Acha uchangudoa hatutaki huo mradi wenu nyie waswahili mbona hamuelewi. Kakoko aliyeona terms na wewe unaefanya assumptions wewe ndio unajiona unajua sana waswahili mna shida sana maneno mengi uvivu tu na kusubiri vya bure. Fanyeni kazi hakunaga cha bure bure hakuna mtu wa kukufanyia yote hayo bila kukuacha na maumivu mikund yenu.
 
Pascal unajua hakuna mtu ambae anakataa ujenxi wa Bandari Bagamoyo ila issue hapa wao ikijengwa tutafaidika vipi?

Kati ha Marais wawili waliopota yupo ambae nina hakika alikuwa na uwezo wa kuisoma MOU mwenyewe ata ikiwa na page 200 na yupo ambae kwake alikuwa kazi yake kusaini tu bila ata kusona page moja.

Katika kuboresha maslahi ya Taifa washaurini ao Wachina na Waoman wafanyie marekebisho vipengere tata ili taifa lifaidike pia sio kuisema Serikali pekeyake.

Hapa ujue hii project ingekuwa imesainiwa kipindi kile basi leo tusngeweza kupanua bandari yetu ya Tanga ambayo itakuwa inapokea mameli ya mafuta kwaajili ya bomba la uganda na ile bandari ilikuwa kwenye bajeti za ya mabilion ya fedha ili kuitanua iwe na uwezo wa kuingiza meli za mafuta.

Licha yakumuona Magu anakisirani sijui alidangwanywa lakini nina hakika Magu alikuwa mwepesi kusoma page ata 100 kuliko JK, JK alikuwa ukipeleka document kwake ye anasaini tu hana mda.
 
Binti jadili hoja acha matusi.
 
Hoja sio kuisoma bali nani atapata nini kwenye nini!!

Watanzania wote wausome mkataba neno kwa neno, lakini hilo halitawafanya Total na Serikali ya Uganda watoe mgao mkubwa hata kama mgao huo utasababisha wao wasipate mgao wa maana!

Nimesema kuna suala la unit production cost. unit logistic cost, na transportation cost kutoka Tanga hadi soko la dunia! Hayo ndiyo yata-determine share ya kila mmoja na sio usomaji wa mkataba!!! Na kwavile mradi ni mpya unaochukua karibi TZS 8 trillion, it's obvious unit cost itakuwa kubwa, na hivyo wakilipa Tz $16/barrel, wenyewe hawataweza kuwa na cut ya kueleweka!

Total sio wajinga wawekeze trillions of TZS kwa mradi utakaomfaidisha mwingine! Na usisahau, unapoilipa TZ $16/barrel, hapo tena kuna gharama za kusafirisha pipa moja toka UG to TZ!

Kwa nchi kama America ambako miundombinu tayari ipo, kusafirisha pipa moja ina-cost takribani $5. Kwa maana nyingine, kama bomba linamilikiwa na mwingine, hiyo ndiyo approximation atakayolipwa mwenye bomba!!

What about kwa issue ya UG to TZ ambako ndo kwanza investment imefanyika huku bomba tu likiwa limeshakula almost 8 trillions!! Hapo hapo unatoa mgao wa $16, huku ukitarajia mwenye mafuta yake na investors wanapata $ ngapi?

Na Mkuu unaelekea kutaka kusema huyo mwenye uwezo wa kusoma Mkataba ni JPM lakini mikataba ya kisheria ni zaidi ya uwezo wa kuisoma bali kunahitajika kuilewa zaidi!
 
Sasa matusi ya nini dadangu? Hizo frustations zenu kutoka kwa waume zenu tafuteni kwa kuzipeleka!!
 

KWA NINI tukubali pendekezo la mradi bila kusoma mkataba?

Chifu Mangungo asingekubali. Yeye alisoma mkataba lakini hakujua sana lugha ngeni. Sisi hata mkataba hatuna. Tunakubalije?

Treaty of Eternal Friendship

I, The Sultan Mangungu of Msovero, Usagara, without duress or coercion, do hereby swear and affirm to offer my territory with all its civil and public privileges to Dr Karl Peters as the representative of the Society for German Colonisation for the exclusive and universal utilization of the German Reich."
 
Huna hoja!
 
Asante kwa maelezo, nitaikalia vizuri makala hii baadaye kidogo. Swali la kizushi, nini kilitokea mpaka ukachelewa kutoa maelezo haya kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2020 hapa nchini!?
Yaani Mkuu TUJITEGEMEE tumekuwa wote hapa JF for years now na unataka kusema hujawahi kuona maandiko yangu kuhusu Bandari ya Bagamoyo?!

Anyway, I can understand you kwa sababu moja! Mimi huwa mvivu sana kuanzisha threads, kwahiyo nimekuwa ni mchangiajia zaidi! lakini kwa posts zangu za nyuma, nimeshaandika sana!!
 
Hakuna hoja waswahili wamejaa umama sana.
Hivi kuna umama kama kuibuka from nowhere na kuanza kutukana?! We jamaa mshamba sana!! Halafu unajiita gentleman... G gani anaweza kuwa na tabia za kiboya kama za kwako!!!
 
Jadili hoja, kwa sababu ni mjinga tu ndie anaweza kushindwa kujadili mada eti kisa hakuna mkataba!!
 
Chige:
Nimekuelewa Sana. Labda moja tu sijaliona. Muunganiko wa SGR tunayojenga na Bandari ya Bagamoyo
Mradi wa Bandari wa Bagamoyo ulikuwa na mambo makubwa matatu:-
1. Bandari yenyewe
2. Industrial Park
3. SGR kutoka Bagamoyo to the main SGR line!

Bandari na SGR ingekuwa financed na China, na Industrial Park ilikuwa iwe financed na Oman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…