Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Porojo at work!

Kila mwenye akili timamu anafahamu Jiwe nae ni miongoni mwa wezi wakubwa waliopata kutokea nchi hii.

Katumia billions of TZS kununua ndege, hata nikikuuliza wewe na ukoo wako wote ni wapi tenda ilitangazwa, hamuwezi kuwa na majibu! Ili asikaguliwe, akaamua kuhamishia Wakala wa Ndege za Serikali Ikulu, huku akiacha misukule yake ikiimba nyimbo za mapambio!!

Halafu hivi hujishtukii unavyosema "tunataka kila kitu wazi wazi" wakati utawala wa JPM ndio uliongoza kuficha yale yanayofanyika huko serikalini?!
Mnajenga uwanja wa mpira chato wakati timu nyingi za mpira zinatokea Mbeya , vipaji na kila kitu, mpaka zingine zinaama mkoa , hafu mnaenda kujenga kiwanja Chato ambako hata mpira hawaujui , Too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo ni UNAFIKI WA WANASIASA "POPO" WAFUATA UPEPO KWA KUFUATA MASLAHI YAO... Waliunga mkono kila kitu pasipo kujadili wala kukosoa penye udhaifu haya ndio matokeo yake...
It's true kabisa ndugu zetu hawa badala ya kukishangilia kitu baada ya utafiti japo kidogo kujua kina ukweli kiasi gani au kina maslahi kwa Uma kwa kiasi gani wao walikua wanaenda moja kwa moja mithili ya kuku ambae amekatwa kichwa.

Sina hakika Kama hata walikua wanashirikisaha japo kidogo akili zao, na kwa bahati mbaya zaidi hata wakati huu ambapo tupo msimu mwingine wao bado wanaishi msimu ulio pita wakati wanajua wazi hauwezi kufanya tena chochote

Tumekua taifa la ushabiki si kwa maslahi kwa taifa Bali kwa wale wanaowashabikia na pengine ni kwa maslahi yao binafsi. Hii garama ni kubwa taifa letu tunayotakiwa kulipa.
 
Andiko refu na kuquote vyanzo kibao lakini umejidhihirisha ni mpuuzi na muongo, hujui kuwa bandari ya Bagamoyo ni Industrial port tofauti na bandari zingine zilizopo nchini. Mashariti mabaya aliyoainisha Kakonko ni kweli tupu na hakuna ubaya aliokosea. Toa upuuzi wako kajadili na wapumbavu wenzako.
We ndio huna akili kumsifia mpumbavu anayeandika andiko refu huku hajui anaandika kitu gani. Wote hamna akili ni wapumbavu msio na akili.
 
Hivi nyie watu huwa hamsikii mpaka damu iwatoke masikioni eeh? Tumeshasema miradi ya wizi wizi na ujanja ujanja iliishia wakati wa Kikwete, kuanzia Magu na kuendelea tunataka kila kitu wazi wazi. Wakati wa kutuchezea akili ulienda na kikwete. Tunataka miradi ya win win situation.
Btw, ardhi yetu ya bagamoyo na uhuru wetu vina thamani zaidi kuliko maisha ya huyo mtoto aliyekamatwa na sembe.
Ni kweli aisee. Miradi ya wazi na inayoleta faida kama wa ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege Chato tuipe mitano tena!
 
Kwanini unamiamini kakoko ?upi uhakika wa kile alichokisema?
Kwanza kabisa Kakoko ajaukataa mradi wa Bagamoyo, yeye mwenyewe anakiri bandari ya Dar ilipofikia aiwezi kuwa expanded tena kuweza kumudu increase volumes za nchi zinazoitumia.

So bandari ya Bagamoyo sio option ni swala la lazima in the future huo ndio msimamo wa Kakoko. Na swala lenyewe sio kwamba limekufa bado lipo kwenye majadiliano wamewapa counter offer wachina awajarudi.

Anachopinga yeye ni give and take za serikali uwezi kutoa zaidi ya kile ambacho you are not willing to lose, kwenye income projection zao based on best and worst case scenarios wachina wanarudisha hela yao ndani ya 10-15 years; better still wao wamewapa 33 years ya kuvuna awataki wanataka 99 years.

Pili TPA aina interest na supporting logistic industries za bandari kuwa sehemu ya mkataba. Wamewapa better offer watoe hizo aspects za supporting industries kwenye mkataba wawekeze wenyewe kupitia maeneo ambayo serikali imeshayalipia bure bila ya ubia wa serikali kila kitu kiwe chini yao; but subject to Tanzania investment laws kama mwekezaji mwingine.

Awataki wanataka hizo aspect za supporting industry ziwe sehemu ya mkataba wa bandari, you know why? Wanataka hizo biashara zikipata hasara faida za bandari ambazo more stable ndio zifidie and that will prolong their investment return wakati TPA aina interest ni hizo biashara.

Bado ujagusia huduma za nafuu kwenye nishati wanazotaka wapewe, kutokulipa kodi, control ya ardhi.

Ni hivi huo mkataba wenyewe ni mmbaya na sidhani kama maamuzi ya TPA have anything to do na report ya mzungu yeyote bali investment appraisal on what they have to give; the terms are not worth it as presented originally.
 
Umeandika vizuri Sana, japo hoja zako nyingi zimeegemea kwenye "Nadhania" kifupi huna tofauti na wanaoupinga huu mradi sababu wengi wetu hatujui kilichomo ndani ya mkataba.

Kuliko kudhania dhania ni vyema mkataba ukawekwa wazi Kila mmoja aone faida na hasara zake.

Kilichopo sasa wote mnapiga propaganda tu wewe ukiwa Kundi la JK na Wachina wengine wakiwa upande wa pili.
 
Kipindi cha Magufuli:

Wachina ni wabaya mno kwanini Magufuli anawang'ang'ania na kuwaacha wazungu?

Baada ya Magu kufariki:

Wazungu hawataki huu mradi ufanikiwe sababu wanajua mchina atachukua fursa zao hapa afrika.


Hitimisho.
Michadema acheni kudemka
 
Porojo at work!

Kila mwenye akili timamu anafahamu Jiwe nae ni miongoni mwa wezi wakubwa waliopata kutokea nchi hii.

Katumia billions of TZS kununua ndege, hata nikikuuliza wewe na ukoo wako wote ni wapi tenda ilitangazwa, hamuwezi kuwa na majibu! Ili asikaguliwe, akaamua kuhamishia Wakala wa Ndege za Serikali Ikulu, huku akiacha misukule yake ikiimba nyimbo za mapambio!!

Halafu hivi hujishtukii unavyosema "tunataka kila kitu wazi wazi" wakati utawala wa JPM ndio uliongoza kuficha yale yanayofanyika huko serikalini?!
Kama kufufua ATC, kujenga standard gauge railway ikiwa ni pamoja na kufufua TRC, kujenga bus stand kila mkoa, kununua meli nk ni wizi basi inatakiwa itengenezwe kamusi nyingine ya kiswahili kuelezea maana ya wizi.
 
Kama kufufua ATC, kujenga standard gauge railway ikiwa ni pamoja na kufufua TRC, kujenga bus stand kila mkoa, kununua meli nk ni wizi basi inatakiwa itengenezwe kamusi nyingine ya kiswahili kuelezea maana ya wizi.
Alafu hawa ndio walikuwa wanamtukana Magufuli kwamba amewakumbatia wachina kwa sababu ni madikteta wenzie anaogopa kwenda kwa wazungu kwa sababu hawataelewana maana wazungu hawataki zulma kama wachina.

Ila kwenye hili bandiko lake amewasifia wachina na kuwaponda wazungu.

Kwamba leo hii sasa baada ya Magufuli kufariki mchina ni mwema sana kwenye huo mradi na siyo katili kama tulivyokuwa tunambiwa wakati Magufuli akiwapokea na kufanya nao biashara zingine.

Hii mijitu vichwa vyao wamejaza mimavi.
 
Hii Misukule ya Jiwe itatoa wapi uwezo wa kusoma! Ndo maana imekuwa ikidanganywa kila siku, huku yenyewe ikiendelea kupiga makofi kama mazuzu vile!
Kwahiyo sasa hivi mchina ni mtu mzuri sana tofauti na wakati ule wa jiwe kwamba anashirikiana nao sababu ni madikteta wenzie?
 
Kama kufufua ATC, kujenga standard gauge railway ikiwa ni pamoja na kufufua TRC, kujenga bus stand kila mkoa, kununua meli nk ni wizi basi inatakiwa itengenezwe kamusi nyingine ya kiswahili kuelezea maana ya wizi.
Kwahiyo ukifanya hivyo vitu ndo tayari huyo sio mwizi?! Cha ajabu hapo ni nini ambacho hakijawahi kufanyika na still bado watu walikwiba?!
 
Kuna uzi wa maana au makahaba wa mafisadi mnauza sura.
bwana yako fisadi aliyekutuma kuja kuandika uongo hapa JF huwa hakutumii vizuri ukafikia mshindo mpaka unapizi uzingekuja kuamdika kishoga humu ndani.
kahaba usiejitambua, propaganda za kipuuzi jadili na mabwana zako huku wakikutafuna.
We kahaba huu upuuzi wako usiwe ni muuza makalio kwa mafisadi?

Unajifanya mjuaaji wakati pumba na uharo kinyesi na mpuuzi mkubwa. Kwanza kama una akili pumbavu mkubwa.
mpuuzi na muongo, Toa upuuzi wako kajadili na wapumbavu wenzako.
Wote hamna akili ni wapumbavu msio na akili.
Mkuu Idugunde , with due respect, heshima kitu cha bure, huna haja kutukana watu humu mwanzo mwisho, tubishane kwa hoja,kwa kupangua hoja kwa hoja na sio hoja kwa viroja na matusi.
Kwa jinsi unavyotukana hapa, sisi watu wa psychoanalysis tumegundua una deep rooted neurosis bila wewe kujijua, hivyo huko kutukana ni a way of escapism, usipo pata msaada wa kitabibu, you might end up being a psychopath.
I beg you, please stop this. Mimi niko tayari kujitolea kukusaidia.
P
 
Shida yangu ni wewe kujifanya unajua ili hali huna unachokijua,umeandika kwa kuegemea upande fulani na kutupia wengine lawama kwamba ni wapotoshaji,akilini mwangu nikajua labda umeshawahi ku uona mkataba husika,kumbe wapi?...unaruka ruka tu!!
Auone wapi kanjanja tu huyo!
 
Mnajenga uwanja wa mpira chato wakati timu nyingi za mpira zinatokea Mbeya , vipaji na kila kitu, mpaka zingine zinaama mkoa , hafu mnaenda kujenga kiwanja Chato ambako hata mpira hawaujui , Too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshakubaliana na Barcelona wajenge academy yao Chato, kwahiyo wataibua vipaji vya wana-Chato bila tatizo!!
 
Acheni kudanganyana nyie watu!

Tanzania alipwe $16 kwa pipa, wakati huo Uganda mwenye mafuta yake anapata $ ngapi kwa pipa, Total waliowekeza wanapata $ ngapi kwa pipa, na huko soko la duniani yanauzwa $ ngapi kwa pipa?
Niseme kwa upande wangu.
Katika ili saga mpaka sasa limepitwa na viongozi watatu, Jakaya Kikwete, Hayati Magufuli na Mh Samia.

Katika ao watatu kila mmjo anasifa yake, labda nikuulize katika ao watatu ni Rais yupi ambae kwake ukipeleka nyaraka hawezi saini bila kuisoma? Katika au watatu kuna mmoja alikuwa na uwezo wa kuiomba MU akaipitia mwenyewe na akaelelewa alipoelewa asipoelewa akaomba msaada kwaiyo sina shakanae.

Hakuna anaekata miradi mizuri yakimaendelea ila tukijifunga ndani ya uo mkataba tutafaidikaje?
jamiiforums_1616781800713853.jpg
 
Nashindwa kutia neno kwa sababu umeshasema mapema kwamba hujasoma, manake ingekuwa umesoma, mengi uliyosema nimeshayajadili!
Chige:
Nimekuelewa Sana. Labda moja tu sijaliona. Muunganiko wa SGR tunayojenga na Bandari ya Bagamoyo
 
Watanzania wengi tuna macho lakini hatuoni, tuna masikio lakini hatusikii hili ni tatizo kubwa sana. Leo hii mizigo mingi inakwenda Rwanda, Uganda, Congo inapitia Kahama kwa ya barabara na kusababisha barabara zetu zisidumu kwa muda mrefu bado tu mnaona hakuna mzigo wa kuirisha Sgr? Bado hamuoni kuwa Sgr itasafirisha mzigo mkubwa kwa muda mfupi na gharama nafuu?
Mkuu Idugunde , kwanza asante sana kwa hoja hii ya mizigo mingi kupitia Kahama kwa barabara hivyo kuharibu barabara zetu. Mizigo hiyo yote inayopita Kahama kwa malori, inatoka bandari ya Dar, na pale bandarini kuna reli kutoka bandarini hadi bandari kavu ya Isaka. Kwanini hiyo mizigo usisafirishwe na reli mpaka Isaka halafu ndio ikaanzia hapo kwenda Rwanda, Burundi na DRC?.

Tena THA na TRC wakiweza wafufue Bandari Kavu ya Isaka na kuifanya iwe active ili, mizigo yote ya DRC, Rwanda na Burudi, ikishuka tuu Dar Port, inapakiwa straight kwenye SGR, na kwenda Moro na ikifika Moro, inahamishiwa straight reli ya zamani na kupelekwa straight Isaka, malori ya Rwanda, Burundi na DRC yaanzie Isaka.

Bandari ya Mombasa is very busy kwa sababu ya mizigo ya Uganda, Sudan ya Kusini na Tanzania. Hata kama tutaboresha efficiency ya Bandari ya Dar, mizigo yote ya Tanzania itapitia Dar, hivyo bandari yetu ikifanikiwa kwenye hili, mizigo yote ya DRC, Rwanda na Burundi itapita Dar na kuifanya Dar port kuwa the biggest, the busiest na the most profitable kuliko bandari ya Mombasa, lakini bado haiwezi kushibisha SGR ikajiendesha kwa faida, ndio maana wenye kuona mbali, wakaamua tujenge bandari ya kisasa Bagamoyo, na kuziboresha Bandari za Dar, Tanga na Mtwara na ndipo tutakuwa na mzigo wa kutosha kuishibisha SGR na kuiendesha kwa faida. Lakini wakatokea wenye uoni wa mpaka mwisho tuu wa pua zao, wakaambizana eti bandari ya Bagamoyo atafaidi Mkwere, waka abandon hii project.

P
 
Back
Top Bottom