Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Mtukufu siyo mzalendo hata siku moja na sasa anajutia kuwatuma akina Bashite kwenda kumpiga risasi Tundu lisu
Watukufu hupendelea kutawala kila kitu; watu na siasa zao, imani zao, sanaa zao na michezo yao, uchumi wao, historia yao - vyote. Akishafanikiwa, hayo yote yanakuwa kama kitu kimoja chini ya milki yake. Na siku ya anguko lake, hayo yote yamevurugika...jamii inaanza upya.
 
Msiojulikana mmeanza kujulikana mmoja mmoja
 
Kuna watu hawalitakii mema Taifa letu. Nchi yetu itaendelea kuwa kinara wa kuheshimu demokrasia Africa na duniani kote. Atakayeshinda atakuwa ameshinda kihalali na atakayeshindwa atashindwa kihalali
Tusitafuta visababu visviyo vya msingi vinavyohatarisha amani ya nchi yetu na kuharibu diplomasia yetu. Yusijifanye wachambuzi wa Mambo ya kiisiasa wakati hatujui Aina ya wapiga Kura tulionao na mhitaji Yao kwa Sasa

Niwaase tu watanzania wenzangu tutangulize maslahi ya Taifa letu mbele sio maslahi ya vyama vya siasa Wala kiongozi yoyote. Km utawala uliopo imeshindwa kuwashawishi watanzania kuwapigia Kura Tena 2020 Basi Wapinzani mnadi sera zitakazotupa muendelezo wa kutoka hapa tulipofikia.

TCRA Mko wapi kushughurika na vijana wanaotoa post zenye viashiria vya uvunjifu wa amani nchini? Tuheshimu taratibu na sheria za nchi yetu tusipende kupotosha umma na kujenga chuko miongoni mwetu Ni hatari kwa mustakabali wa Taifa letu
 
Acha ushamba mbona Nyerere alimweka Obote madarakani nae alikuwa beberu
 
Ununuzi wa ndege kala 10% na wanaccm wenzake wachache, miradi yote mikubwa wameweka kampuni zao binafsi wanakula 10% pia kujipatia pesa kupitia kampuni zao binafsi, hakuna miradi ya CCM inakosa ufisadi, miradi yako imejaa mapungufu ufisadi wa kutisha sana
 
Admin unataka kutuambia ili andiko hujaliona? vipi mwandishi angeandika Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka John Pombe madarakani lingekaa hata dk tano hujalifuta?
 
Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia ni pesa nyingi sana na endapo CCM wangeiwwkeza kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa na mataifa mengine tajiri Duniani kutokana na Tanzania kumiliki rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kote
 
Hivi kauli ya Kikwete kusema kuliko Lissu awe mbunge bora Slaa awe Raisi..alimaanisha nini?
 
Mabeberu wanaakili sn si unaona wanavojaa kwenye mikutano ya Rais Tundu Lissu?

Haya mauchafu ya maccm ndiyo watz malofa wanataka kuyakomesha
 
Hivi ukijaribu kuushughulisha ubongo wako vizuri, kama Mh. Magufuli aliweza kuwa rais ,Lisu atashindwa nini?
 

Hivi unaweza kutaka kudhuru mtu anae kutegemea kwa kumwekea mtu ? Hao mabeberu wakiamua si wanatuwekea vikwazo tu? Why watumie nguvu kuuuuubwa wakati dawa tunazotumia zinatoka kwao
 
Mlikosea sana kulenga shabaha wakati mnapiga risasi zenu haya yote leo yasingekuwepo.
 
Ngoja nijichekee mimi Magufuli Magufuli mzalendo!!?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…