Uchaguzi 2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

Cha ajabu misaada ya wakoloni mnaipokea mnawaita wafadhili.
 
Sio tu lissu atashidwa vibaya bali na wabunge wengi wa cdm watapoteza majimbo yao. CCM ndio baba ya vyama vyote Africa, itabaki kua hivyo miaka 100 mbele.
 
 
Wamefuga jini wao wenyewe
 
Mabeberu hawawezi kutuwekea mtu wao na sisi tukakubali hata siku moja. Lisu is proving to be a puppet for the west.
 
Zilipendwa, zinaimbwa zaidi na nyie mnaotapeli. Kwa sasa hata watoto wa chekechea watakutazama usoni kwa mshangao.
 
kama inatakiwa nguvu ya mabeberu ili tupate katiba mpya utawala bora hakuna namna na iwe hivyo. jiwe tumelichoka.
 
Hakuna cha mabeberu wala nini nyuma ya Lissu kinachoendelea so far ni sawa na wafuasi kadhaa wa CDM au CUF au CCM au NCCR mageuzi wajiamulie wao wenyewe kumvamia mfuasi wa chama kingine halafu kutokana na sare zao lawama uzipeleke kwa Mbowe/Lipumba/Magufuli/Mbatia watu ambao hakuna ushahidi wa wao kuhusika kumtuma mtu yeyote kufanya hayo matendo.

Hao Amsterdam, Jarida la Economist na Moody’s ni taasisi ambazo vibeberu vyenye hela zao na interest zao za kibiashara ndani ya Tanzania wanaweza zitumia kufanya lobbying au kutoa pressure serikalini kwa niaba yao ili kikaragosi wao Lissu aonekane ana western backup.

Hila mpaka sasa hakuna ushahidi wa concerns kwenye uchaguzi wetu from West official communication channels labda viherehere ni media za Kenya sijui wanawashwa na nini kuchagua upande kwenye siasa zisizo wahusu.

Lissu nafasi ya uraisi aimtoshi acheni kumjaza upepo kama anaweza rubuniwa na wafanya biashara wachache na kutuzuga kama vile dunia nzima inamuangalie yeye huyo mtu anaweza fanya lolote ili apate kura tu bila ya kuelewa ugumu wa kazi yenyewe.
 

Hivi beberu ni nani? nasikia tu mabeberu, mabeberu, lakini sijasikia wakitajwa ka majina ya au ni nchi gani.
 
Daah threads za Tundu lissu humu ndani sasa zinakaribia elfu na ushee. Ninachojiuluza ni why?? Uoga ama ni nini? Je uongeaji wa Lissu wa zamani na sasa umebadilika? Je ni watu wali miss hizi speeches zake??
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huo wimbo wa AMANI ukiunganishwa na wapinzani kwa sasa CD ime scratch tafuta kingine. Msiyempenda kaja kwamba hawezi kuwa rais, nawe hakuna unachojua maana ni siri ya watanzania, na uache kujipa kazi ya ushehe Yahaya.
 
Hakuna wa kumshinda Rais Magufuli,aliyoyafanya kwa kipindi kifupi yako wazi.
 
Kila MZAWA WA TANZANIA Ni Mzalendo hawa wakuja si Wazalendo
 
Mna bidii kubwa ya kuokoteza vihoja baada ya hoja ya madaraja kushindwa.
Nyie mkiongozwa na shetani ndio mliyosabisha aende ughaibuni, kama dhambi ni yenu na mliyowashangilia kwa kutaka kumuua.
Mliivuna wenyewe.
Lissu ndie mzalendo wa kweli, Mungu amelinda uhai wake na amempa fursa ya kuja kulithibitisha kwa kuikomboa nchi yetu.
BADO kitambo kidogo tu hilo litatimia
AMEN
 
Cha ajabu misaada ya wakoloni mnaipokea mnawaita wafadhili.
We uliona kwenye uchaguzi kuna msaada pale? Watu mnajitoa ufahamu kweli. Magufuli is a best President ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…