Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

Kuna mtu kafungulia redio yake ndogo anasikiliza kwenye train hana wasiwasi SGR ikiianza kwenda mwanza na kigoma wasipoweka standard itakuwa shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wengi ni washamba sana, kuna wengine wanaweka mavitu yao ya dini, yaani wanazingua sana, uduanzi ni mwingi sana, kuna mzee mmoja nili m-confront akajifanya mjuaji, mwisho nikamuuliza, hivi wewe kichwa cha panzi, ikiwa kila mtu kenye hili basi akifungua video na audio kwa sauti kutakalika humu? kwa aibu akazima
 
Dalili za huu mradi kutokua na maisha marefu zimeanza kuonekana.Hao abiria wanaoenda kupanda sasa hivi wakishamaliza kushangaa hiyo tren watarudi kwenye mabasi ambako wana uhuru wakubeba chochote kwasababu ndio maisha yao na maisha yanawalazimisha hivyo.Sasa wanaweka standard za ulaya wakati ata nusu njia hatujafika.ngoja tuone.
 
Lakini sijaona shida ya shangazi kaja. Maana sometimes mtu unakuwa na mizigo mingi , walitaka iwekwe wapi?
 
Wanao vaa madera ni wakiswahili swahili sana
Kwa hiyo kwako wewe bora uzungu kuliko Uswahili ... kwanini una associate mswahili na uchafu je wewe ni mzungu .. why hating your own colour and race ?!
 
Kuongea lugha hakukupi hadhi wa watu wenye hiyo lugha, naongea English lakini mimi siyo muingereza, mimi siyo mswahili hasilani, na sitaki kuwa mswahili, nina asili yangu ambayo naipenda na najivunia
Mtumwa wa fikra anayekataa asili yake eti naongea kiswahili lakini mimi si katika jamii ya waswahili.. you remind me of things fall apart .. andika kisukuma basi .. idiot
Kwako mwananmke akijistiri ni backward lakini akiwa uchi ndio mwenye akili na wa kisasa ..
 
Sio uswahili ni uporipori na ulugaluga
ndio wameharibu ustaarabu kama hapa Dar
Dar ya miaka ya 80 mpaka 90 ilikuwa safi maeneo yote ya mijini mpaka Kariakoo shimoni tulikuwa tunaenda
Washamba wa mikoani sio waswahili wa Pwani ndio wameharibu miji yote kwa kunya ovyo mabarabarani zamani Dar kulikuwa na vyoo visafi vya Jiji leo ni hakuna
Pia kupiga miziki kwenye mabaa kwa makelele haya yote yameletwa na hawa waliohamia mijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…