Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hatutaki, tunataka hilo hilo zuri.Lipo lile la reli ya kati linafika hadi Kigoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki, tunataka hilo hilo zuri.Lipo lile la reli ya kati linafika hadi Kigoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nilivyoona hilo tangazo; niliishia kucheka. Yaani tusibebe ma-aunt come mweeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kafungulia redio yake ndogo anasikiliza kwenye train hana wasiwasi SGR ikiianza kwenda mwanza na kigoma wasipoweka standard itakuwa shida.
Watu wengi ni washamba sana, kuna wengine wanaweka mavitu yao ya dini, yaani wanazingua sana, uduanzi ni mwingi sana, kuna mzee mmoja nili m-confront akajifanya mjuaji, mwisho nikamuuliza, hivi wewe kichwa cha panzi, ikiwa kila mtu kenye hili basi akifungua video na audio kwa sauti kutakalika humu? kwa aibu akazimaHii ya kufungulia video au music bila eaphones ilinikuta siku moja.
Nimepanda zangu bus luxury..kijana kakaa nyuma yangu anasikiliza music wake kwa sauti ya juu. Kumbuka hapo kuna Tvs zipo on.
Nilivumilia uzalendo ukanishinda maana niliona kichwa kinadata kwa makelele mchanganyiko.
Nikamwita yule dada konda nikamwambia huyo mtu hapo nyuma anapiga kelele either azime mziki wake au avae eaphones. Nilikereka sana..
Wanao vaa madera ni wakiswahili swahili sanaKwahiyo kuvaa mini skirt kwako ndio ubora kuliko anayevaa dera
Wangetenga behewa moja kwa abiria wenye kusafiri na wanyama.Wanafukuza wateja kwa umaridadi usio na umuhimu.
Wasukuma huwaonei huruma wao?🤣🤣Waha ndio watakaoteseka d
unatafuta ugomvi na Paulo weweWasukuma huwaonei huruma wao?
Kwa hiyo kwako wewe bora uzungu kuliko Uswahili ... kwanini una associate mswahili na uchafu je wewe ni mzungu .. why hating your own colour and race ?!Wanao vaa madera ni wakiswahili swahili sana
Kuna tabia za kitanzania na za ki-swahili, jiongeze kidogoKwa hiyo kwako wewe bora uzungu kuliko Uswahili ... kwanini una associate mswahili na uchafu je wewe ni mzungu .. why hating your own colour and race ?!
Kuna tabia za kitanzania na za ki-swahili, jiongeze kidogo
Kuongea lugha hakukupi hadhi wa watu wenye hiyo lugha, naongea English lakini mimi siyo muingereza, mimi siyo mswahili hasilani, na sitaki kuwa mswahili, nina asili yangu ambayo naipenda na najivuniaKwa hiyo wewe sio mswahili ?! Ni lugha unayoongea?!
Mtumwa wa fikra anayekataa asili yake eti naongea kiswahili lakini mimi si katika jamii ya waswahili.. you remind me of things fall apart .. andika kisukuma basi .. idiotKuongea lugha hakukupi hadhi wa watu wenye hiyo lugha, naongea English lakini mimi siyo muingereza, mimi siyo mswahili hasilani, na sitaki kuwa mswahili, nina asili yangu ambayo naipenda na najivunia
Sio uswahili ni uporipori na ulugalugaOi! Kama watu hawataki kuacha Uswahili willingly basi itabidi iwe mandatory ili kuelekea kuwa moja ya nchi zilizostaharabika. Gradually mpaka tufikie viwango vya first world country. Hahahah!
But seriously ni amani sana ukienda nchi kama Japan na kukuta kila mtu ni mstaarabu ukipanda zile bullet train. We have to get there!