Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi

Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.

Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.

Ni bure kabisa hata elimu wanayosomea vyuoni haina msaada, Kwenye masomo kama operations research / Quantitative methods kuna somo la queuing linahusu haya mambo lakini unabaki kushangaa tu kanakwamba somo hilo ni kama pambo kwenye vyeti.
 
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwnye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.

Yani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
Halafu hii ishu ipo karibu Tanzania nzima sijui...
 
Kuna mtu wa CRDB humu?
Kama yupo amtaarifu meneja wa CRDB Kibaha kwamba Kuna wajanja wachache hawasimami foleni kwasababu Ni ndefu. Hao huenda kwa mdada wa customer service na kumkabidhi cheki wanazo deposit au kutoa pesa halafu mdada anapeleka cheki kwa cashier, punde si punde cashier anatoa signal na mteja anafuata pesa dirishani.
Wazee, wajawazito na vilema wanaendelea kung'aa macho, wajanja wanaacha mizimbazi miwili kwa customer service wagawane na keshia.
Naiona Sana hii tabia hasa akija mdada fulani wa kichina..
 
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.

Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
We mwenyewe ni Tatizo inakujae Ada unalipa Hadi ikikaribia Mitihani, Alafu lawama unawaletea binadamu wenzako.
Tafuta Hela uache kulalamika.
 
ukiona hivyo manager ametembea na wote kwahio nidhamu kazini hakuna... the same bank wanaume wakiwepo dirishani wanapiga kazi mwanzo mwsho hakuna kunyanyuka kutoka na kuingia, ila the same bank akikaa mdada dirishani ataongea na simy ataondoka ataweka temporary closed ilimradi tu vurugu... Ukiona hvyo kashatembea nao kwahio manager hana usemi tena... Especially hizi bank mbili wasenge sana
 
Kuna banks hazina matawi. Kila kitu unafanya kwa app.

Mawakala wanavyoongezeka, kutapunguza roles za tellers. Redundancy itaanza baada ya muda.
 
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.

Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
Dawa ni ATM zinazopokea pesa
 
Back
Top Bottom