Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

Kuna mtu wa CRDB humu?
Kama yupo amtaarifu meneja wa CRDB Kibaha kwamba Kuna wajanja wachache hawasimami foleni kwasababu Ni ndefu. Hao huenda kwa mdada wa customer service na kumkabidhi cheki wanazo deposit au kutoa pesa halafu mdada anapeleka cheki kwa cashier, punde si punde cashier anatoa signal na mteja anafuata pesa dirishani.
Wazee, wajawazito na vilema wanaendelea kung'aa macho, wajanja wanaacha mizimbazi miwili kwa customer service wagawane na keshia.
Naiona Sana hii tabia hasa akija mdada fulani wa kichina..
Hao ni corporate clients au private banking clients ndugu, na wanajulikana na branch husika na karibu kila benki ina utaratibu huu.

Ukitazama account zao kuna utofauti na asilimia 98 ya clients wengine wa benki. Pigana ufike huko utaleta mrejesho kama benki kuna tatizo la foleni
 
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.

Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
ANGALIZO: Kwa waliofika Ulaya siku za karibuni. Benki na huduma zinazotolewa benki kwenye madirisha zinazidi kupungua siku hadi siku. Mambo mengi yako online. Najua Bongo hali ya internet na online service bado iko nyuma, lakini ndiko tunakoelekea.
 
Kuuumbe!!! Asante kwa taarifa mura. Ngoja nipambane, akaunti ikisoma 200 M plus nitaona Kama na Mimi watanibagua. Au sio poti.
 
ANGALIZO: Kwa waliofika Ulaya siku za karibuni. Benki na huduma zinazotolewa benki kwenye madirisha zinazidi kupungua siku hadi siku. Mambo mengi yako online. Najua Bongo hali ya internet na online service bado iko nyuma, lakini ndiko tunakoelekea.
Kuna vijibenki hapa nyumbani kila ukikaribia kwa dirisha unaambiwa system iko down. Huku nadhani tungerudi kule kwenye kitabu Cha benki Kama enzi za ruksa
 
Tumia wakala
 
Hapa bongo watu wanakwepa sana uwajibikaji wa kukamilisha majukumu yao ya kwenye mikataba ya ajira, wengi wapo kusubiria mishahara tu na kuzuga zuga ofisini waonekane wapo, ukiwakuta wanawajibika basi kuna chances kubwa kwamba kuna mwanya wa upigaji hususani rushwa ama kuibia wateja pesa.

Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
Nimeiona NMB yaani wanauzi
 
Branch ya msasani pale ni shida

Ova
Jombaa umejuaje....yaani kuanzia mapokezi kuna vidada viwili vinanyodo....tena omba uwe na card uchukulie huku nje pesa zako ila bila hivyo....utasimama kwenye foleni hadi ujute kutunza pesa benki
 
Ukiona ni lazima kuweka mfanyakazi wa kike ofisini kwako weka wasiokuwa na mzigo nyuma la sivyo utafunga biashara baada ya muda mfupi. Meneja anaangalia hapohapo, wateja wanaangala hapohapo, mdada anavimba na kazi haziendi.
 
Crdb Everytime nikiwa na issue ya cheque, kudeposit or withdrwall hela mingi hua nakosa amani kabisa...najua kabisa hapa nna masaa si chini ya mawili ya kupotezea bank. Uchukue number then ukae usubiri uiitwe..utakesha.
Na hapa unakuta bank inatengeneza faida ya mabilioni ila customer cares & tellers ni wachache.
km kuna upungufu wa watu kwann wasiongeze wafanyakazi kulilko ku post faida mabilioni kwa kutoa customer service mbovu?
Last week nlikua na haraka nikaingia na kutoka km brach 3 za crdb...nlianzia vijana nikaona michosho, nikaenda kko congo nikakuta kuna teller mmoja, nikasepa nikaingia ile ya ndani ndani mtaa wanaouza vifaa vya umeme napo vile vile ikabidi niwe mpole, jamaa aliekua nae akaona bora akanyoe huku akiniwait..akanyoa, akapiga na scrub mi nipo tu naskilizia foleni...[emoji1787][emoji1787]
 
Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga foleni kuniruhusu nilipie ada niende kufanya pepa.
1659803029533.png
 
Back
Top Bottom