TheGreatGenius
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 260
- 726
Hao ni corporate clients au private banking clients ndugu, na wanajulikana na branch husika na karibu kila benki ina utaratibu huu.Kuna mtu wa CRDB humu?
Kama yupo amtaarifu meneja wa CRDB Kibaha kwamba Kuna wajanja wachache hawasimami foleni kwasababu Ni ndefu. Hao huenda kwa mdada wa customer service na kumkabidhi cheki wanazo deposit au kutoa pesa halafu mdada anapeleka cheki kwa cashier, punde si punde cashier anatoa signal na mteja anafuata pesa dirishani.
Wazee, wajawazito na vilema wanaendelea kung'aa macho, wajanja wanaacha mizimbazi miwili kwa customer service wagawane na keshia.
Naiona Sana hii tabia hasa akija mdada fulani wa kichina..
Ukitazama account zao kuna utofauti na asilimia 98 ya clients wengine wa benki. Pigana ufike huko utaleta mrejesho kama benki kuna tatizo la foleni